game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
Tupo tofauti sana mkuu,Asante kwa kukubali kwamba hamna estates. Tunapenda watu kama wewe who speak the truth. And what did you mean by 'apartments ambazo ziko kwenye towers'? So wewe unaishi TPA tower ama what exactly do you mean?
Huku kwetu ni Mafanikio makubwa mtu kuhama kwenye renting house na kuhamia kwenye nyumba yako, (the house of your dream)
Hata ukichumbia huku tz wakwe watakuuliza at the first day, Je, Umejenga?
Sasa nyie wenzetu huko mnaishi kwenye dormitories za wanasiasa na wakikuyu hapo Nairobi halafu mnataka na sisi tuwaoneshe mabweni??
Although there are lots of apartments in Dar pia,
Kama hizi,
But sababu Kila mtanzania ana access to the land, (in DSM periphery unapata plot 25*25m kwa only $1500-2000
Ndio maana tunafikia kujenga nyumba za zetu namna hii.
Nyie hamjui utamu wa kumiliki nyumba ya ndoto yako, mtuache mkae huko mabwenini.
Nyumba zinafanana utadhani kota za wanajeshi.