Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 514
Mtanzania akishindwa kujidefend kwa hoja asema 'povu', 'kwikwikwi', 'render', 'hasira' na kadhalika. tushawazoea
mapovu,hasira....[emoji23] [emoji23] [emoji23]ulikaaa bila jibu 20 mins then ukaamulia utumie "povu"...be creative dude
Kwa Mahoteli na sehem za Starehe hupaswi kabisa kuishindanisha DAR na NAIROBI[emoji23][emoji23] labda ushindanishe na Watu wanaotembea na bahasha za kaki kutafuta kazi[emoji23][emoji23]Bata ndan ya bongo
View attachment 641228
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]View attachment 641223 Mi nasepa zangu,nilipita kuwachokonoa tu wakei(KE) ili watoe mapovu ili timu yetu yakina kadoda iwaweke kati vizuri
View attachment 641190 Picha ya satellite ikionyesha muonekano ws juu ya moja ya mji LDC.
Hujaeleza Nairobi imetuzidi kwa lipi?Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
OviousAnza kutoa shit zako nyuma kabla ya kuonesha shit hizo kwa watu.
World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobi
The report, which was released Thursday, estimates the economic value of Dar’s real estate at $12 billion ahead of Nairobi’s $9 billion – a $3 billion gap.
World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobi