Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya mnaujinga sana...naona mlitaka kuleta ujuaji kuhusu maana halisi ya neno "meme"...haya tayari nishawasaidia kuwawekea maana...mna "kijiswali" kingine?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ulikuwa hujuj mpaka uende 'google' ?? haya sema umeelewa nini ama utafsriwe
 
wakenya mnaujinga sana...naona mlitaka kuleta ujuaji kuhusu maana halisi ya neno "meme"...haya tayari nishawasaidia kuwawekea maana...mna "kijiswali" kingine?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
umedefine MEME but instance ulitumia meme haikua meme..picha za uzuinduzi wa lift ni meme
 

Najua Buda! majamaa ni wabaya kwa sura kinoma.
 
As I said earlier,Danganyikas =Proconsuls& Africanas Gracillis.
Hohoho
 
Kadoda11,as a proconsul and ichoboy as another ramapithecus,you share the same blood line, come back to your senses, only proconsuls and Africanas Gracillis and ramapithecus still argue that Dar is slum is catching up with Africa's Powerful metropolis,Nairobi.
 
if to you this isn't a meme, what is guy doing if i may ask?...ooh sorry he was the guest of honour during the launching day.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IYO NDIO MEME?
 
Tanzania ardhi ni ya serikali
Ukiichukua usiiendeleze inachukuliwa baada ya miaka kadhaa
 
asante usilie basi futa machoziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
licha ya kujikokota kutumia misamiati ya kingereza ambayo siyo common katika mazungumzo ya kawaida,bado hufichi upumbavu wako.ujinga na upumbavu wako vinaonekana dhahiri shahiri.

lugha ya kingereza ni kichaka cha wakenya wengi wakijaribu kukitumia ili kuficha ujinga wao ilhali ujinga wao upo palepale.afanaleki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…