IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
sio tuu utakuwa hapa utalipia na kingamuzi hilo halina ubishi.Si tutakua tu hapa hio 29th, tutaona matokeo.
Vibera wako very disappointed leo.Pole kwa maumivu, ulicho wish hakikuwa, jipange upya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kwa kufatilia soccer la Tanzania, kumbe unajua tarehe 29 na 30 kuna nini kinaendelea, nakusihi usikose kulipia decorder yako ya Azam, sisi watanzania wenye lugha yetu tunaita Kisimbusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Si tutakua tu hapa hio 29th, tutaona matokeo.
Basi ukitoa Dar kimaendeleo unafuata mji wa Mwanza kaka.Weeeeeee wacha kabisa kaka, ni mbingu na ardhi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo ni 2024 unaongelea mambo ya kabla tupewe ban.South Sudan ilowafunga yangapi ki rank za Fifa?
Mama yuko kazini.![]()
![]()
Whoever designed hivi vibanda vya phase II (chini) anatakiwa kufungwa, ona tofauti na vile vya phase I (juu). Na hii kampuni ya kichina nayo imeripua sana hii phase II. Watanzania "tumezoea" standard ya juu bana.
Aaah.Waliwafunga au hawakuwafunga?Leo ni 2024 unaongelea mambo ya kabla tupewe ban.
Wenye uelewa zaidi tujuzane 👇 👇 👇 👇
View attachment 2944470
View: https://youtu.be/UvjvPsqyPUM?si=tOMLFVklyHGQrXmQ
Treni zilizochongoka kuingia tarehe 28 March 2024. Piga makofi tafadhali
View: https://youtu.be/YXvOuBZhtq0?si=aNXGBozRsTtZ7mq8
mama ngina anapendanga flying spur sana, huwa anazinunua kila siku
View: https://www.instagram.com/reel/C4xwvH6tBub/?igsh=NXIxZHB0ZDRoYnV3
Asa kwenye hizo nyumba watachimba kuongeza kina ama watainua daraja?leo nimepita nmetoka magomeni nlifika jangwani naona wazee wa vipimo inasomaje hapoo!!! walikuwa wanafanya yao.