Wakenya mtupe support 🤣🤣🤣 wananuna kweli
View: https://twitter.com/Tanfootball/status/1772123712831037561?t=bFT2Z21tUc32oYUWjwO7NQ&s=19
Wakenya wenye ksh laki moja bank wapo 1.9M, je hawa wa humu ni kati ya wakenya wenye ksh laki moja bank?Na mm ndivyo nnavyojua hivyo, huku mtaani kwetu ukimuomba mtu pesa akakujibu "kama kenya mwanangu" ujue hapo anamaanisha hana kitu ni njaa tu.
Saa 10 uwe kwenye TV hakikisha uwe na Azam TV plz 🤣🤣🤣🤣Another lose.
Hivi wewe uko humu ama hauko humu?🤣🤣Wakenya wenye ksh laki moja bank wapo 1.9M, je hawa wa humu ni kati ya wakenya wenye ksh laki moja bank?
Badala wakatafute pesa wapo humu kulazimisha mambo. 😂😂😂
Muda huu nikiangalia balance ya account yangu haiwezi kosa Tsh 20 million.Hivi wewe uko humu ama hauko humu?🤣🤣
Hilo halijibu swali langu bradhee. 🤣 🤣Muda huu nikiangalia balance ya account yangu haiwezi kosa Tsh 20 million.
Hilo ni swali?Hilo halijibu swali langu bradhee. 🤣 🤣