Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Kiswahi haujui" ni Kiswahili sanifu sio? 😂 😂 😂
Unanikosoa .? 😂😂 mimi ni mjuzi wa lugha I can use it whoever that I want, naeza kutumia formal language or informal language vile nataka mimi ikue 😂😂.

Wewe unaweza.?
 
Kwanza tueleze kwanini 40% ya budget yenu ni misaada. Jibu ni kwamba zile vipeni mnakusanya mnanunua ndege na treni za mtumba ambazo hazina faida kwa wananchi. Ni sawa na mtu anaenunua gari alafu analala njaa.
Tuna projects ambazo hamtokaa mzijenge na bado tupo B1, hivi mamikopo yote mliyoyachukua mliyapeleka wapi na hamna mbele wala nyuma?

Screenshot_20240323-161330.jpg

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1771518852158939161?t=ajry_bI5JGYkCMZ0hqBP3g&s=19
 
Unanikosoa .? 😂😂 mimi ni mjuzi wa lugha I can use it whoever that I want, naeza kutumia formal language or informal language vile nataka mimi ikue 😂😂.

Wewe unaweza.?
''I can use it whoever that I want.'' 😂 😂 😂 Wewe nyamaza tu.
 
Kwan expressway au SGR mulikua na negotiation stage 😆😆😆😆😆

Hamuna pesa ya kujenga SASA KAZI hio muachieni mchina afanye yake alaf baadae sasa mutajua hamjui
Toilet boy naongelea stages tofauti huyo mwenzio amefikia negotiation wee bado uko denial
 
Tuna projects ambazo hamtokaa mzijenge na bado tupo B1, hivi mamikopo yote mliyoyachukua mliyapeleka wapi na hamna mbele wala nyuma?

View attachment 2942639

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1771518852158939161?t=ajry_bI5JGYkCMZ0hqBP3g&s=19

Hayo ma projects ndio sababu 40% ya budget yenu ni misaada. Unanunua vipi ndege alafu wanafunzi Dodoma wanautapia mlo. Wanafunzi wa Tanzania wamejaa kenya kwa sababu hamna hela za kuwasomesha ilhali Kenya masomo ni bure
 
''I can use it whoever that I want.'' 😂 😂 😂 Wewe nyamaza tu.
Unanikosoa.? 😂😂 Imagine mimi kukosolewa na wewe, natamani kungekua na option ya kuweka sauti humu ili kuanzia leo na kuendelea tusibishane na nyie tena kuhusu lugha.
 
Hayo ma projects ndio sababu 40% ya budget yenu ni misaada. Unanunua vipi ndege alafu wanafunzi Dodoma wanautapia mlo. Wanafunzi wa Tanzania wamejaa kenya kwa sababu hamna hela za kuwasomesha ilhali Kenya masomo ni bure
Mbona ni empty talks kila siku? Leta hiyo source inayosema bajeti yetu inategemea msaada 40%.
 
Alafu hawa ndugu kuna sifa moja ya kama taifa wanakosa, wanasimama wapi? Maan kila kitu ni bomu.

Utaifa wamejiita wazungu weusi
Kijamii Wanabaguana kwa misingi ya kikabila.
Uchumi full makaratasi. Imagine uchumi wa superpower unashangilia render?
Yaani kiujumla hayaeleweki.

Nchi yoyote inayojielewa haina haja ya kushobokea vya nchi nyingine kua ni vyao kutafuta sifa tena bila aibu.
 
Wao ni taifa lenye halina muelekeo kwahyo akhera hawapo, duniani wanatafutwa 😂😂
 
Back
Top Bottom