Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili hujui kumbe 🤣 🤣 🤣 (Nikisema wazungu wamo maana yake Ejaculation, sparm zinaigia eneo husika) Mnaongea kiswahili kama watoto. Nenda shule kasome kiswahili na misemo yake 🤣🤣🤣
Hacker bandia umetoka from DDOS attacks to ejaculations after umeona umeijiabisha. 😂 😂 😂 Beba aibu zako pekee yako we pimbi.
 
You said your salary was Tsh 800k. How comes tena it’s $400k net?. Huoni unajidanganya?

$400k is not equal to Tsh 800k.
We jamaa huwa hausomi kwa umakini.
Kipindi mie nafanya kazi nlikua napokea 850k Tzsh.
Hiyo ni mshahara marupurupu bado kama vile hela za clinic na overtime.
Ndio maana kule nilisema 400$ ni sawa na 800k+ embu ielewe hiyo alama ya jumlisha stands for what.
Kipindi mie nafanya kazi dola kwa hela ya Tz ilikua 2200 uki convert 400$ inakuja kwenye 860+K tzsh.
 
Jamaa anajaribu kucook figures but hazingii. Hata akiweka $400 bado haitakuwa the same na Tsh 800k alisema before.
Rejelea post yangu kesha soma kwa umakini.
Ukiambiwa 800+K unaelewa nini??
Ni laki nane na zaidi.
Kama unakimbilia mimi nina cook figure pole yako.
 
$400 is not equal na Tsh 800wewe ELEWA MAANA YA ALAMA (+).
NIMEWEKA ALAMA YA (+) ILI KUONESHA NI LAKI NANE NA ZIADA.
Embu elewa maana ya hiyo alama.
Au labda nikuulize.
Mtu akikwambia nguo inauzwa 600+ Kshs wewe unaelewa nini??
Hiyo alama ya jumlisha inaashiria nini mbele ya hiyo 600??
 
Kiswahili haujui na kiingereza haujui pia, sasa unajua nini wewe.? 😂😂😂 Ikiwa hata speaking skills, listening skills hauna.? Ooh kumbe hata writing skills yako pia ni mbovu 😂😂

Tuambie mzee unajua nini.?
''Kiswahili haujui na kiingereza haujui'' 😂 😂 😂 Yako ndio sanifu sio. Nyani haoni kundule. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom