ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mpeni zwazwa aishi nayo 🤣🤣🤣Siasa za kipinzani bongo hauwezani nazo, huku zinaitwa ni siasa za maji taka. Kuzusha mambo ya uongo kibao ndio kazi wanaweza hao jamaa.
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1771425564030644474?t=XOYwBL38W8aLIGF6BzQO2Q&s=19