Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 879
- 1,040
Sasa unaandika kiingereza kibovu kuliko mtoto wa chekechea alafu bado unaongelea kubishana kuhusu lugha? Wabongo nao. Khaa! Eti ''I can use it whoever that I want.'' 😂 😂Unanikosoa.? 😂😂 Imagine mimi kukosolewa na wewe, natamani kungekua na option ya kuweka sauti humu ili kuanzia leo na kuendelea tusibishane na nyie tena kuhusu lugha.