Kumbe wew huwa unaelewa sometimes, usiseme tena kwamba those buildings are empty kwasababu umekiri mwenyewe kwamba tower A is almost full occupied while unadhani tower B Iko na floors mingi zenye ni empty..
Kwanini nikulazimishe useme kwamba unadhania.? Ni kwasababu mimi na wewe wote hatujui leasing status ya hilo jengo ikoje kwasasa, badala yake tunadhania tu kupitia picha,
Ukija na report/atakaekuja na report ya status ya hilo jengo kwasasa ndio atatupea majibu sahihi, tusibakie kwenye kudhania tu.
Hopefully nimeeleweka
Chamoto mkuu, mjadala nimemaliza