Tanzania iko mbele kwa sababu wanatumia apple na kenya oppo- hii jamaa kienyeji ni ya wapi 😂😂😂😂Tunaendelea tulipoishia jana
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
19. Smartphone Brands (Hii inaonesha hadhi ya maisha ya wananchi 🤣 🤣 🤣 )
Sisi tunatumia Apple wao wanatumia Oppo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2940786
View attachment 2940788
Mharo wa alili, bei ya nyama na development inihusiana ajeWhy is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
23. Beef Price per KG( 🤣 🤣 🤣 🤣 )
Dar es salaam: TZS 8,000 = 3.13 USD
Nairobi: KES 750 = 5.66 USD
Kunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.Angalia Mali yao pendwa hapa ( Probox), Kwamba hii ni Brand new wakimaliza kuibebesha ile mizigo inayozidi size ya gari ndio wauze Bongo kama second hand? Au itakua Owner wa hamsini 😂😂😂😂
Vitu vingine unaangalia tu ile Rhythm ya maisha unajua level yao inatosha😂
Hapa Rhythm inakataaa na wanayosema 😂😂😂. inafoka kabisa vitu haviendani
View attachment 2940716
Na wewe leta link ya ripoti kwamba Kenya Kuna brobox nyingi kushinda Tanzania tuoneKunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.
Lkn sitoshangaa siku mkunya mmoja akaleta report (post/screenshot/link) inayosema kuwa Tanzania ina probox nyingi kuliko Kunyaland, afu yey na wenzake wakaidadadia hio report siku nzima
Poverty stricken LDC
View attachment 2940996
Kazi ya kumtua mama ndoo Kichwani inaendelea👇👇
Sipendi ego ya hawa watu, utadhani wako tu sawa, hii ndio ile barabara niliiangalia kwa macho hata hakukuwa na mvua, alafu huku wanaruka hio stori sana mpaka wanasema ni kitambo, mara kunajengwa brt … never admitting fault, in fact trolling Kenya.Dar is a slum si ilikua imeflood juzi tu hazi nyuma zikabebwa na maji au unadhani tumesahau.
Barabara mbaya katikati ya jiji in 2024😂 😂 😂 👇 👇
View: https://x.com/JamiiForums/status/1770720092986196456?s=20
Angela Okutoyi is the new African women's Tennis champion.
Mibongolalala mnajua hata tennis ni nini?
Kenya🇰🇪 to the worldOkutoyi strikes gold at Africa Games in Ghana
Okutoyi's strong service game and agility powered her way to the fifth and sixth games and lead 4-2 but Lamiz fought back to tie the match at 4-4 in a captivating first set.www.the-star.co.ke
Google againIlijengwa 20 years ago?
Wewe ni wa kupuuzwa tu coz all you want is attention
Wakunya bana. They be like 👇
Kenya has more vehicles of any kind than Tanzania. Be it probox or mercedes S class. The most common vehicle in Kenya is Hilux though, not probox.Kunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.
Lkn sitoshangaa siku mkunya mmoja akaleta report (post/screenshot/link) inayosema kuwa Tanzania ina probox nyingi kuliko Kunyaland, afu yey na wenzake wakaidadadia hio report siku nzima