Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
toa mnara 1m ama 2m na bado inaipita TPA ...Pwahahaha..pole nduguPlus mnara😀😀😀
toa mnara 1m ama 2m na bado inaipita TPA ...Pwahahaha..pole nduguPlus mnara😀😀😀
Deni la watu hamujalipa munawaza electric train😀😀TUMIA AKILI ...trains can be changed anytime...the rail will stay for hundreds of years...punguza wivu pia...ama utuoneshe hio yenu ya umeme😀😀😀😀leta picha tuone😀😀
That was the past.. Corruption and all that.. Lakini sasa HV tuna Magufuli wait 2025 mdomo utakuangukanorthern Kenya yote ni kavu...tz on the other hand, is not...ila tumewashinda kiuchumi...inatia aibu sana jinsi mlivo barikiwa na rasilimali aina mbali mbali ila mpo tu LDC...yaani tofauti ynu na DRC hamna

sababu sasahv nchi za EA karibia zote zimeibana Kenya haina pakutokea.. Ndomaana Uhuru anaanza kusema yoyote anaetaka kwnd Kenya aende.. HATUJI NG'OO
unataka tufanywe km Wafuasi Wa RailaMnara 40m ok toa hapo😀😀😀😀toa mnara 1m ama 2m na bado inaipita TPA ...Pwahahaha..pole ndugu
Matusi ya nini si uweke picha basis for conclusive evidence/Proof.Kimbu wewe tulia unafikiri ushahidi ni kuandika uongo Wikipedia lol
East Africa sio watz pekee...mbona una kurupuka?That was the past.. Corruption and all that.. Lakini sasa HV tuna Magufuli wait 2025 mdomo utakuangukasababu sasahv nchi za EA karibia zote zimeibana Kenya haina pakutokea.. Ndomaana Uhuru anaanza kusema yoyote anaetaka kwnd Kenya aende.. HATUJI NG'OO
unataka tufanywe km Wafuasi Wa Raila
75 Billion...haya fananisha na 47 Billion ya LDC😀😀😀
ameishiwa ndio maana anatusi tusiMatusi ya nini si uweke picha basis for conclusive evidence/Proof.
Weka evidence baba.SGR ujenzi haujaanza???Bangi unayovuta sio ya nchi hii..
Baba saiv sio poaSometimes nachukia viziara uchwara kwann hawajiamini ?

wanalala kwny vitanda vya Kamba ili wasije wakapitiliza usingz.. Sema hawana jinsi media ziko nyuma yao kila wanachofny lzm kirekodiwepole bro
hebu tuonyeshe hiyo Kenyatta family landTofauti kati ya Tz na Kenya ni watu kama 5m tu,
Halafu asikudanganye Mtu, Kenya sio kavu, isipokuwa ardhi yote arable mmenyang'anywa na wazungu na wanasiasa akiwepo rais wenu huyo Mkora Uhuru,
Hebu fikiria Familia ya Kenyatta inamiliki ekari 500,000,
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
You guys mngechagua Raila angewasaidi walau kujinasua kwenye huu mtego wa wakikuyu, hamtatoka hapo milele.
Weka hapa ya Tz 2017 tulinganishe na ya Kenya 1980.Ahead of gari moshi???? Serious😀😀😀
Nilifkiri mutaeka history kwenye SGR kumbe mumeenda kurudisha train za 80s ama kweli aliweroga kafa
huo mnara ni 40m?Mnara 40m ok toa hapo😀😀😀😀
huwa ni msaada au ni biashara inafanyika?View attachment 640533
Hii nimepiga Jana ikitokea njia ya Monduli Arusha ikielekea Kenya kupeleka chakula , apo imebeba viungo (vitunguu maji) kuhakikisha wageni wanao ingia Kenya wanapata CHAKULA safi kutoka Tanzania
Nawauliza wa Kenya how long Tanzania will spoon feed you mpate akili ya kujituma kufanya kazi KULIKO kushinda bustani za Nairobi na envelope za kaki
Wewe inaonekana mwalimu wako alikua kilaza wa kuokotwa....kwani huoni hapo chini kuna mti unao zuia floor zingine kuonekana?Kwenye skyscrapercity hata mm naeza fungua thread nikaandika nachojua mimi😀😀😀😀😀 so sio hoja isipokua ukweli uko hapa chini
View attachment 640507
reli ya fairy tales (hekaya za abunwas) ndio mnaimba imba hapaDeni la watu hamujalipa munawaza electric train😀😀
Nasafarii hii mchina kawashika kwenye makende😛
Kumbe Kenya illiteracy rate ni kubwa kiasi hili![]()
fala flani nimemuitisha picha za reli akaniletea hii hapa...jamaa karibu kumi wanajifunza kutumia nyundo na msumari![]()
![]()
![]()


Aibu kubwa.. Haya hujui kusoma hata picha huoniii?? Uje nikufundishe Kiswahili ndugu unatia aibuNi chakula cha msaada ama ni cha kuwauzia waKenya?View attachment 640533
Hii nimepiga Jana ikitokea njia ya Monduli Arusha ikielekea Kenya kupeleka chakula , apo imebeba viungo (vitunguu maji) kuhakikisha wageni wanao ingia Kenya wanapata CHAKULA safi kutoka Tanzania
Nawauliza wa Kenya how long Tanzania will spoon feed you mpate akili ya kujituma kufanya kazi KULIKO kushinda bustani za Nairobi na envelope za kaki