Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://www.instagram.com/p/C4tiO05tEQw/?igsh=Z2ptcGlsMHJ0OGxk
491820067.jpg
-1229642408.jpg
-495999031.jpg
558580016.jpg
-1987961811.jpg
-1145985729.jpg
939955546.jpg
 
So, running track tu ndo inakupa orgasm? Mbona nyinyi wakenya hamna akili namna hii? Mnavipa umuhimu vitu vidogovidogo ambavyo havina mpango wowote na serikali yenu ikaingia mkenge, football stadium zisizo na running tracks huku kwetu zitajengwa na Simba na Yanga mana hizo ni club za mpira wa miguu, na tayari Yanga wameshaanza, so, na nyie ilipaswa football clubs zenu ndiyo zijenge stadiums zisizo na running tracks, tutawafunza kwa vitendo tuone kati yenu na sisi nani mwenye elimu bora.
Tuta, ita, wata ×2
Wata, ita, tuta ×2

Ulinzi Club already has a stadium better than any stadium in Tanzania apart from Mkapa
 
Tanzania inajenga 1500km of SGR hvi tunavoongea nyinyi yenu iliishiwa wapi naivasha maporini 🤣🤣🤣 over 3 yrs Leo hakuna treni ilishatembea kutoka nairobi kwenda naivasha

SGR ya Tanzania imefika 10 yrs?🤣🤣🤣🤣🤣

Haya tuoneshe ndege ilionunulia na Kenya airways B787 maana tunavojua Sisi
17 aircrafts loan
20 za kukodiaha
3 owned by kq na tena chakavu 🤣🤣🤣🤣

Kwani pinnacle na montave haikua same story??😅😅😅😅 Munaumizwa na maendeleo ya Tanzania mafedhuli nyinyi
Uko sure? 😂😂😂

View: https://youtu.be/6H98BwV3Z04?si=E1cQTKDxYWDmpQSL

View: https://youtu.be/hFwZ0-MnONU?si=rqizuPmGCgvmNzhu

View: https://youtu.be/cvAAsA2uZtk?si=Yxr_M0YdV2O4dnEC

View: https://youtu.be/9NZppaW22vY?si=Hp2TZi2o07edRixd
 
Back
Top Bottom