Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah ila huu uwanja ni balaa, alie design hii kitu Big shout out kwake. Hii ni mwana ukome
GJBsTP5XoAABhhl.jpeg
GJBsThnXMAADqeN.jpeg
1268245040.jpg
itawachukua miaka mingi mno hawa wanuka mavi kupata facility nzuri ka hii
 
Running track ya kazi gani kwa nchi haijui anything to do with athletics.
Mko na ushamba sana
Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
 
Nimemskia yule ndumbaro akisema pembeni ya huu uwanja kutakua na museum ili kulifanya hilo eneo kuwa busy wakati wote hata baada ya michuano ya Afcon na mechi za mpira wa miguu. 👇 Probably ni hilo jengo linaonekana close to football pitch 👇
1268245040.jpg
 
Back
Top Bottom