Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna siku uliambiwa Tz hatupendi miti? BTW hio miti ipo tangu hio barabara nimeanza kuiona.
Kila mara tukipost picha za Nairobi zikiwa na miti humu nyie husema Nairobi ni Pori Hadi mkaipea jina Naipori. Inakuwaje Sasa mnacelebrate miti? Ndio maana mimi husema ubishi wenu humu haukuwa hi objective.
 
Kwani ni uongo Nairobi ipo na pori la fisi na wanyama wengine?
 
Back
Top Bottom