muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Sio mimi mzee, ni nyie, mngeweka running track hapo Talanta mngeweza pigana mkapata haya IAAF Diamond league series. Yakwamza Africa. Na mngeweza maana mngetumia leverage ya wakimbianaji wenu na mahusiano mazuri mliokuwa nayo na IAAF.Negotiating stage.😎😎
sasa kwenye rugby man leverage gani?? Timu yenu ya 15s ni mbovu!! Bora kwenye sevens kidogo ila huko pia mnajulikana kama wasimdikizaji tu!
Msipokuwa makini TALANTA will be a white elephant 🐘🤣🤣🤣🤣