ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kijana alifikiri kingereza inatuzuiua kupata tunachokitakaKumbe huyu 👆 ni kademu 😂😂😳😳
(Niko jobless jamen au hii ni kazi ya jobless, msishangae)
Proof kuwa ni demu👇
Kapost hii pic (ameiscreenshot afu akalike)
View attachment 2938515
View attachment 2938505
View attachment 2938507
Nikaingalie FB hio post na nikaenda kwa waliolike kwa kucheka
View attachment 2938490
View attachment 2938493
Hizi dp mbili chin zinafanana (the same)👇
View attachment 2938495View attachment 2938497
Kademu chenyewe 👇
View attachment 2938498
Hii picha nadhani inajieleza 👇Ebu tuambie ni barabara gani hiyo from CBD to JKIA at 12KM 😂 😂 😂
View attachment 2938536
Barabara gani hio ya 12km? Tuambie tukue tukiitumia ju inaonekana umeinvent kitu mpya.Hii picha nadhani inajieleza 👇View attachment 2938537
Umeanza na kiingereza kingi mwenzako yuko nairobi huko dp imejaa majani utafikiri yupo kolomijeSo what click are you repping?… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huko ni misitu bosiHio area yote bongoslum iliyojaa giza ni kilimanjaro? 😂 😂 😂
Hadi border post ni misitu? Enyewe munakuanga mafala. 😂 😂 😂Huko ni misitu bosi
Hata USA wenyewe wana dark spots
Sembuse sisi
Nchi ya watu wanaojielewa
Wewe tulia sir jesus aje awanyandue
🚶🏽♂️
You lost me at Nairobi… 🤣… come again….😂😂😂Umeanza na kiingereza kingi mwenzako yuko nairobi huko dp imejaa majani utafikiri yupo kolomije
Mchukueni mwenzenu muondoke
Nchi mnajua kukimbia njaa tu😂😂
Run
Run for your life😂😂
I promise you before your GDP hits $300 billion… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inakamilika lini? Au hujui?
Eti Mombasa road ni 4 lanes?😂😂😂😂Wewe kweli ni kocho 🤣🤣 kuhusu distance , from Dar airport -CBD ni 11 km while the distance From Nairobi airport -CBD ni 12 km.. ni same distance tu kwa hizo barabara mzee 🤣 🤣🤣
Kitu cha pili utalingashaje barabara yetu ya zamani na barabara yenu basic four lanes road yenye ndio hiyo mnategemea forever.? 🤣🤣🤣 Barabara yetu apigwa upgrade kufikia 8 lanes ndani yake kukiwa na BRT lanes+brt stops. Hiyo comparison mnataka haipo wazee 🤣🤣🤣🤣
Labda kama mlilenga kusema Nairobi airport road is better than Dar old airport road, hii ndio inaeleweka na naeza kukubaliana nanyi
Ila Kwasababu tumeng'oa hiyo barabara na kuweka mpya kwasasa hiyo discussion hakuna mzee 🤣🤣🤣 hatuwezi linganisha basic four lanes road vs 8 lanes road+ BRT lanes and bus stops with in. Hii comparison haipo we mnuka mavi.
Wat i mean isYou lost me at Nairobi… 🤣… come again….😂😂😂
I think you are the one who needs to know where this conversation started from. It started when I posted this picture of Kilimani belowDuh! Una hakika unafollow up convo, unapojibu? Au unarukia rukia tu? Unaweza rudia tulipokuquote na majibu yako.
hahaha...funnyYet hujawai toka nje ya kisii 🤣🤣🤣🤣🤣
SaSA elimu bora mlionayo ni kuita Ile gari kwenye picha ya Kilimani Hiace. Sasa kati yetu na nyie mnaosisitiza hilo gari ni Hiace ni nani ako na elimu ndogo?Wanakwambia Bajeti ya Elimu ipo juu yetu, ila Products sasa, jitu halifollow wapi convo imeanzia?
Anakurupuka, kuna mwingine kakomaa na Dualis ya 2001, huyo huyo anakwambia Jeshi la JWTZ hatuwezi Afford drones?
Thinking capacity inajengwa na elimu, via research, reasoning.
Ila hawa ndugu zetu wa elimu ghali wanajichoresha huku na hawashtukii.
Kumbe ndio hii mbwa inakua kusumbua watu hapa 🤣🤣🤣🤣