Wee kima nawe, umepostiwa video mbili - ya Nairobi na Dar. Umeambiwa utazame zote uone tofauti halafu unajichocha eti huwezi tazama kisa unaijua Dar vizuri. Nairobi nayo unaijua? Utalinganishaje vitu viwili kama unajua kimoja pekee?
Alafu ameongelea footbridge wewe unaleta tunnels na viaducts. Viaduct na footbridge wapi na wapi? Alafu kuna chuki ipi kwa yale aliyosema wakati uzi ni ushindani kati ya Dar na Nairobi ambapo amepost video za miji miwili akaifananisha? Amesema the distance between JNIA to CBD ni shorter than from JKIA to CBD, wewe unatupea distance ya JNIA to CBD pekee eti 11km, sasa nini umeprove hapo wakati hujapeana ya Nairobi? Ndio maana ukaambiwa utazame video uelewe sio kupayuka tu. Tazama video zote alafu ulinganishe majengo yaliyoko pembeni mwa barabara zote mbili utaelewa kwa nini kasema ya Nairobi ni better. Nitakusamehe kisa wewe bado mtoto ila huna akili kabisa.