Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio hilo tangazo ndio reference yako? Hujui magari uwe unakaa kimya tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hii sura ukiangalia unahisi anajua nn zaidi ya kuvuka Barabara tu
1708410304070.png
 
Mabeyo kishule sio kam Mwamunyange, inaweza kuwa ni moja ya shida. Maana yuko kama kondoo flani anapelekwa pelekwa.
Huwezi juwa, ile coordination ilikuwa si kitoto, unaweza kuta na yeye alisharambishwa dawa ya kuwa zombie au naye ni wale wale. Wale wote heavyweight waliokuwa karibu na Magu ambao aliwaamini kama Kijazi na Shariif Hamad waliondolewa, including godfather wake (Mkapa). Ndiyo maana nilihoji hapa jana, kwa nini mkewe hakuwepo? Kauli ya Magu kusema nirudisheni nyumbani ilikuwa ni code kuwa siwaamini hawa madaktari.
 
Hapo sio mjini kaka blaza. Hapo ni kilimani.

Kwa kukujibu tu, naomba unuambie hizi zenu zinafanya nini mjiniView attachment 2937410
Hii ni zamani. Hio ni Msimbazi street before brt background unaweza kuona round about kwenye junction ya Msimbazi na Uhuru street sasa hivi haipo.
Hiace zimepigwa marufuku kuingia mjini miaka mingi iliopita. Angali hio junction after brt(no roundabout)
Screenshot_20240318_095721_Google.jpg
 
Driving from JNIA to Dar City Center and driving from JKIA to Nairobi City Center. One thing you notice is, the road from JNIA to CBD is dusty, less development along the road, two lane and with little traffic and shorter, the road from JKIA is longer, less dust, better maintained, Lots of footbridges, better marked, more interchanges and more traffic. You also notice more buildings under construction in Nairobi.
N/B, the Nairobi drive is on the normal lanes, not the expressway.
Watch and give your views
Geza Ulole Nicxie game over RRONDO Teargas mwaiofhawaii mwathadan tuusan Chamoto KANAIRO nairobae buffalo44

Natumai wasee wetu wa bando hawatoshindwa kutazama video hizi. 🤣 🤣 🤣


View: https://www.youtube.com/watch?v=JnTqAwFXHDU

View: https://www.youtube.com/watch?v=bZf9Rrpt6Ss
 
Project started 2003 gari imetoka 2006. Kwa akili yako project ianze 2003 gari itatoka same year? Halafu unarukaruka tu.
Mkuu kwa heshima yako achana na huyo mtoto, hakuna kitu anajua, huyo ni shamba boi magari kaanza kuyaona hapo Nairobi alivyokuja na gari la mkaa kutoka mijworeni huko countryside. Nimesoma sources nyingi kuhusu Nissan dualis, first generation ya hiyo gari it was introduced to the local market in 2006, second generation 2014, na latest generation ni 2021 .. hii source ni 👇"Everything You Need To Know About The Nissan Dualis: Reviews, Specs & Pricing | Driva" Everything You Need To Know About The Nissan Dualis: Reviews, Specs & Pricing | Driva.
 
Back
Top Bottom