Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuanzia wazo mpaka mipango yote ya BRT ilifanywa na serikali ya Mkapa. Kikwete, Magufuli na Samia ni watekelezaji tuu.
huyu anajua vitu tunajiamulia tuu tanzania hajui anayrkuwa madarakani anakuta mipango ipo ni utekelezaji tuu wasubiri dira yetu kama nchi ikamilike ipelekwe bungeni tutilie mkazo baaadhi ya mambo kisheria wataipenda.
 
Kenya vs Tangagiza at night

18212562_dhzkyi1xcaa1qwc_jpeg_jpeg6bdd24dc77b4451a4623765b7cec0a97
Yani Hadi lights zimechora map. Enyewe tumezungukwa Na giza.🀣🀣🀣
 
Wanasema inawekwa BRT, sasa BRT itabadilisha majengo uchwara? BRT itaweka footbridges? BRT itaongeza urefu wa barabara? Interestingly hiyo video niliyopost ina sehemu zinazojengwa BRT lakini kawaida kijana mdogo hana bando la kuwatch video. 🀣 🀣
Kijamaa ni fala kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti ananiulizia kuhusu kuangalia video kwenye eneo ambalo mimi naliona kila mara nikitaka kulitembelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwanza barabara nzima kutoka airport hadi town imezungukwa na viwanda, show rooms, malls n.k ukijifanya Unaijua Dar unanichekesha sana 🀣🀣. barabara hiyo inatoka kuwa 4 basic lanes to 6 lanes. Ukiongeza na service roads kila upande unapata ngapi hapo.? 🀣🀣. BRT inaongeza upana wa barabara na hadhi ya barabara ambayo kunyans mmekua mkiota everyday ..

Kuhusu distance iko hivi:-
. Distance from Dar airport -CBD ni 11 km (hii stretch yote ni viwanda, malls, show rooms n.k ) kuna flyovers,1
Screenshot_20240123-003042_1.jpg
2
Screenshot_20240123-002813_2.jpg
kutakua na footbridges, kuna tunnel for SGR
Screenshot_20240123-011446_1.jpg
, kuna viaduct
Screenshot_20240123-011406_1.jpg
in short kwenye barabara hii kuna kila aina ya kivuko mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio tu foot bridges

Mzee chuki zitakuua, sisi sio nyinyi mbwa wewe
 
If I was President, I would move the capital city to Isiolo.. the Parliament and all the major government offices… then use part of the huge State House land to relocate UpperHill High school. sell their current location to private investors on condition they put up skyscrapers… the money from the sale is enough to build a brand new modern Upper Hill high school.. my opinion…
Aisee I didn’t know all Kunyans r this fucked up to an extent of okaying an auctioning of Ikulu land! Wacha Ruto ajilie nchi!
 
Kijamaa ni fala kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti ananiulizia kuhusu kuangalia video kwenye eneo ambalo mimi naliona kila mara nikitaka kulitembelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwanza barabara nzima kutoka airport hadi town imezungukwa na viwanda, show rooms, malls n.k ukijifanya Unaijua Dar unanichekesha sana 🀣🀣. barabara hiyo inatoka kuwa 4 basic lanes to 6 lanes. Ukiongeza na service roads kila upande unapata ngapi hapo.? 🀣🀣. BRT inaongeza upana wa barabara na hadhi ya barabara ambayo kunyans mmekua mkiota everyday ..

Kuhusu distance iko hivi:-
. Distance from Dar airport -CBD ni 11 km (hii stretch yote ni viwanda, malls, show rooms n.k ) kuna flyovers,1View attachment 29382882View attachment 2938289 kutakua na footbridges, kuna tunnel for SGRView attachment 2938290, kuna viaductView attachment 2938291 in short kwenye barabara hii kuna kila aina ya kivuko mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio tu foot bridges

Mzee chuki zitakuua, sisi sio nyinyi mbwa wewe
Mtaro ya maji siku hizi inaitwa tunnel? Huyu kijana analishwa na bibi naona anazidi tu kuwa mjinga na mshamba at the same time.
 
Kijamaa ni fala kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti ananiulizia kuhusu kuangalia video kwenye eneo ambalo mimi naliona kila mara nikitaka kulitembelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwanza barabara nzima kutoka airport hadi town imezungukwa na viwanda, show rooms, malls n.k ukijifanya Unaijua Dar unanichekesha sana 🀣🀣. barabara hiyo inatoka kuwa 4 basic lanes to 6 lanes. Ukiongeza na service roads kila upande unapata ngapi hapo.? 🀣🀣. BRT inaongeza upana wa barabara na hadhi ya barabara ambayo kunyans mmekua mkiota everyday ..

Kuhusu distance iko hivi:-
. Distance from Dar airport -CBD ni 11 km (hii stretch yote ni viwanda, malls, show rooms n.k ) kuna flyovers,1View attachment 29382882View attachment 2938289 kutakua na footbridges, kuna tunnel for SGRView attachment 2938290, kuna viaductView attachment 2938291 in short kwenye barabara hii kuna kila aina ya kivuko mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio tu foot bridges

Mzee chuki zitakuua, sisi sio nyinyi mbwa wewe
Hawa nyang'au wanatetemeka wakiona hivi😎
 
Wee kima nawe, umepostiwa video mbili - ya Nairobi na Dar. Umeambiwa utazame zote uone tofauti halafu unajichocha eti huwezi tazama kisa unaijua Dar vizuri. Nairobi nayo unaijua? Utalinganishaje vitu viwili kama unajua kimoja pekee?
Alafu ameongelea footbridge wewe unaleta tunnels na viaducts. Viaduct na footbridge wapi na wapi? Alafu kuna chuki ipi kwa yale aliyosema wakati uzi ni ushindani kati ya Dar na Nairobi ambapo amepost video za miji miwili akaifananisha? Amesema the distance between JNIA to CBD ni shorter than from JKIA to CBD, wewe unatupea distance ya JNIA to CBD pekee eti 11km, sasa nini umeprove hapo wakati hujapeana ya Nairobi? Ndio maana ukaambiwa utazame video uelewe sio kupayuka tu. Tazama video zote alafu ulinganishe majengo yaliyoko pembeni mwa barabara zote mbili utaelewa kwa nini kasema ya Nairobi ni better. Nitakusamehe kisa wewe bado mtoto ila huna akili kabisa.
 
Back
Top Bottom