Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama ingekuwa Kenya ruto angepostpone safari akapokee msaada lakini Tz waziri wa chakula kaupiga chini msaada
Your excuses are becoming more ridiculous everyday. Mmepokea msaada wa chakula Na mmekuwa mkiupokea kila mwaka. Foreign media zimeamua kuwaumbua this time.
 
Dualis zimeanza kutoka 2006, hio ya 2002 ilitengenezwa Kibera?
2006 indeed.
Screenshot_20240318-002358_1.jpg
 
Amount of money does not necessarily justify the quality angalia yale mapipa yenu mliojengewa kipevu oil terminal kisha angalia new Dar oil facility, ninyi kupigwa ni kawaida na pesa yenu siku zote ni takataka
Kindly, show us the Dar oil facility that is supposedly of better quality than Kipevu.
 
Your excuses are becoming more ridiculous everyday. Mmepokea msaada wa chakula Na mmekuwa mkiupokea kila mwaka. Foreign media zimeamua kuwaumbua this time.
Umesikia tamko la waziri wa kilimo msaada umetolewa bila kuombwa na hauhitajiki Cha pili nchi yenu huomba msaada wa chakula WFP Kisha WFP huwa wanakuja kununua Tz na kuja kuwapa Bure wazee wa service economy
 
Msaada huwa hauombwi. Msaada huletwa tu alafu kama hauhuitaji unaukataa. Nyie mmeukubali kama miaka mingine tu. Tofauti this time international media zimeamua kuwaumbua.
 
Mara kibao tu mawaziri wenu huomba misaada ya chakula na ni Moja ya sifa kubwa sana ya kiongozi wa Kenya kung'aa kisiasa ndio maana hupenda kwenda kupiga picha na kupost kwenye mitandao ili wajipatie umaarufu kisiasa pale misaada ya chakula inavyoletwa na waarab wa jangwani na huomba misaada zaidi
 
Nionyeshe waziri wetu akiomba msaada.
 
much know according to world bank, Tanzania and Uganda are dependent on aid, Kenya is not. Huwa nashangaa na kelele zenu humu when facts say otherwise. Only 15% of our budget is from aid. Hapo kwenu 41% ya budget ni aid. Kumbuka we have a much bigger budget than you. Nyinyi sio level yetu boss.
2.png

Source
 
Back
Top Bottom