Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare and contrast.

101430527_3776585202416939_8123314419951206400_n.jpg
79479987_3776585209083605_4541510668037128192_n.jpg
Ikulu ya Kenya imekaa kaa mabada ya kuku broiler
 
Hey toilet boy. Nimekuambia tofauti Iko kwa grill, ama hata hujui grill ni nini?
Ww ndio maana nikakwambia ni mwendawazimu grill ni something MTU ananunua na anabadilisha na grill sio sababu kuna watu Wana pimp gari na ukitambua hzo gari used zishatumika nje huko
 
Ww ndio maana nikakwambia ni mwendawazimu grill ni something MTU ananunua na anabadilisha na grill sio sababu kuna watu Wana pimp gari na ukitambua hzo gari used zishatukika nje huko
So grill zote za zile picha nimekuambia zimebadilishwa? Wewe ni mkimbizi kichaa😄
 
Hile Northern Bypass ya Kibera is better than hiyo barabara from JNIA to Dar town.

Baadala wajenge barabara hao wako hapa wanapiga kelele.
Tunajengwa BRT kila Kona ya mji SASA hvi

BRT phase 1 completed
BRT phase 2 .....95+%
BRT phase 3......35+%
BRT phase 4 under conStruction

Ww utatuambia nn hapo 🤣🤣🤣🤣🤣

BRT phase 3

View: https://youtu.be/kDuQmPM5epg?si=mFJi99ykhY9H47GY



BRT phase 4

View: https://youtu.be/xbrGxEkL_0U?si=sV-MtWm4XnlrPpBZ
 
Tuoneshe Kenya ikishiriki kwenye mashindano hayo ya beach soccer nicheke🤣 unatucheka Sisi wakat ww huna hata team moja kwenye mashindano hayo makubwa ya Africa
Is beach football a big tournament?😂😂

As for Kenya we only participate in what we win. Nyinyi hakuna tofauti kati ya Tanzania na wenye hawakuparticipate cause wote watatoka na zero points 😂😂🤣.
 
Back
Top Bottom