mmeshinda mkiimba tz ya kale sijui nini....Kenya also suffered under Moi for 24years with nothing really going on.So excuses muwacheWasichoelewa nyang'au ni kwamba Tz ya sasa siyo ile waliyoizowea zamani😎😎
Ww unachekesha Sana hvi ww Tanzania unaichukuliaje 🤣🤣🤣🤣🤣Uko sure utawezana kwa luxury cars kweli
View attachment 2934814View attachment 2934815View attachment 2934816View attachment 2934817View attachment 2934818View attachment 2934819View attachment 2934820View attachment 2934821View attachment 2934822View attachment 2934823View attachment 2934824View attachment 2934825
Hao jamaa ni youtubers na safari walipitia TZ,youtuber wao utafuta content,hapa TZ masuper star wa SA wengi tu wanaishi,huyu ni abby super star msouth kwa miaka mingi anaishi TZ na wanaeVictor and Vincent.....and the other crew Liv Kenya.
Bado unaishi enzi za Moi wewe nyang'au, hujitambui😎mmeshinda mkiimba tz ya kale sijui nini....Kenya also suffered under Moi for 24years with nothing really going on.So excuses muwache
Seikali ingewezesha wajasiriamali hata kwa mikopo kuanzisha viwanda vya kutengeneza solar panels ili watengeneze hata paa za solar za nyumba ili kupunguza load ya umeme. Ila viwandani na kwenye grid ya taifa wangetumia vyanzo vigine.Mimi niko against na Miradi ya umeme wa Jua hadi tuwe na umeme wa uhakika, Umeme wa Jua kwa nchi za Africa ni miradi ya wizi na ya viongozi wanaipigia kelele ni wezi, ukijumlisha power plants zenu hapo pote hazifiki megawatts 200 biga hesabu gharama na eneo, maintainance, transimission, next 20 years mnaanza mradi upya wakati mtambo mmoja wa Bwawa nyerere ni megawatts 215 tayari ni rahisi kuingiza kwenye Grid ya Taifa
Ni mdangaji wa kisomali kutoka Jubaland aliyepagawa.Mtanzania gani anaetumia Mombasa🤣🤣
Wakat dar port imekua tishio kwa Mombasa port yet bado munatoa mapovu hapa
Kwanza who is farhia abas
Magari yamechokaaaaa!🤣🤣 Ona lile licorolla 110. Lanikumbusha kigari uncle wangu alinunuanga 2001.Naona magari ya 1994 ndio kuwasili, brand new second hand 😂😂
RORO Berth ya Dar inashushwa magari ya 40yrs.Hio haijafunga kwenye original roro bearth inafunga kwenye container bearth na ushahidi upo 😅😅😅😅 Mombasa hakuna roro bearth hata kama inakuuma ndio ukweli
Munatumia container bearth kushusha magari lakini sio roro bearth yenyewe kama hii ya dar never ever
View attachment 2934808View attachment 2934809View attachment 2934810
Sasa wewe umekosa kitu cha kupost.Wakenya mna feli wapi nimetembea airpot nyingi ila sijawahi kuona automobile roof kama hii 😎😎View attachment 2934852View attachment 2934853
Wanaume ambao walizaliwa hizo corolla zikitokea saii wana watoto wakubwa na mdio zinalanda bongo sasa 😂Magari yamechokaaaaa!🤣🤣 Ona like licorolla 110. Lanikumbusha kigari uncle wangu alinunuanga 2001.
Hapa mbona wanapita kwa kipole 😂😂😂😂Acha tuwakumbushe where most Nairobians live
BuruBuru phase 1-4
View attachment 2934615
View attachment 2934616View attachment 2934617
Donholm
View attachment 2934618
Embakasi
View attachment 2934619
Kayole
View attachment 2934620
KomaRock phase 1-4
View attachment 2934621
View attachment 2934624![]()
View attachment 2934626
All those wires are internet Fibre cables.Super clean streets in Kenya full of new cars
View attachment 2933834View attachment 2933835View attachment 2933836
Bongo ukinunua gari ya 2005 in 2024 utaonekana mtu wa maana sana😂😂.Wanaume ambao walizaliwa hizo corolla zikitokea saii wana watoto wakubwa na mdio zinalanda bongo sasa 😂