ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Matumaini gani wakat tunajengwa over 1500km of modern electric SGR with European standards 🤣🤣 ww unaongelea SGR gani wakat SASA tunaanza majaribio kwenda morogoro over 722km completed huku phase zingine ujenzi ukiendeleaThe same way mnajipiha kifua na SGR ambalo halijaanza kutumika mkicheka kenyan SGR inayobeba mamilioni ya watu kila mwaka kwa miaka minane sasa 😂😂😂
Solar power iliunganishwa kwenye power grid na imetumika miaka na mikaka Kenya ila Tanzania wanatembea kifua nje kwa kuwa wamelaunch construction ya solar power leo , maajabu haya😂😂😂
Hivi wewe nyang'au unaumia ukiwa wapi?😎The same way mnajipiha kifua na SGR ambalo halijaanza kutumika mkicheka kenyan SGR inayobeba mamilioni ya watu kila mwaka kwa miaka minane sasa 😂😂😂
Solar power iliunganishwa kwenye power grid na imetumika miaka na mikaka Kenya ila Tanzania wanatembea kifua nje kwa kuwa wamelaunch construction ya solar power leo , maajabu haya😂😂😂
Bmw x7 2023
View: https://www.instagram.com/reel/C2ocD7WNUoE/?igsh=bHJiemZuYmF1dGo4
View: https://www.instagram.com/p/C2gp4ycNaNz/?igsh=c2FhdWQzNGFkY3Fj
View: https://www.instagram.com/reel/C2fVxdKNaAu/?igsh=MWl4dXc5czJndjM3cQ==
View: https://www.instagram.com/p/C1CTxc4KQim/?igsh=MWYxYTVocjNqcGRzdg==
Mnasemanga hakuna roro Kenya acha nikuonyeshe vile Phantom inashuka kwa roro vessel
View: https://www.instagram.com/reel/C4SycqnMTvy/?igsh=bzFxOW1iMTk3aG1r
Victor and Vincent.....and the other crew Liv Kenya.Kuna fala aliskia that Kenyans are exploring Africa by road akaanza kutuletea mambo ya mabasi😄
View attachment 2934484
Naona magari ya 1994 ndio kuwasili, brand new second hand 😂😂Hio haijafunga kwenye original roro bearth inafunga kwenye container bearth na ushahidi upo 😅😅😅😅 Mombasa hakuna roro bearth hata kama inakuuma ndio ukweli
Munatumia container bearth kushusha magari lakini sio roro bearth yenyewe kama hii ya dar never ever
View attachment 2934808View attachment 2934809View attachment 2934810