Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hujaelewa basi.
Kajifunze kuwa na akili ya upembuzi.

OVA
Screenshot_20240313-112038_1.jpg
 
Harafu wakasema gharama za matibabu ni million 400tsh
Jamaa wame loose kitu kinaitwa integrity, wako hovyo sana kwenye hiyo angle that's why tourists wametafuta sehemu nyingine ambayo ni Tanzania, kenya ukiwa mburula utauziwa mpaka kachumbari kutokana na shida na ushenzi walionao, washenzi sana wakenya, wanaichafua sana EA kwa greedy waliyonayo.
 
Mtanzania atajigamba vile gari ni cheap Tanzania kuliko Kenya kumbe ni gari za 30-40yrs old😂😂
Huyu bibi titi bhn, now anaongelea gari wakati juzi tu hapa alipost gari aliyo claim ni yake alafu hiyo gari imechoka kweli kweli, hamna hamna ile gari ni ya mwaka 90 kurudi nyuma na bado ana audacity ya kuongelea agility ya gari 🤣🤣🤣🤣🤣
 
This coughing kama sio Corona basi itakuwa ya ukimwi.

View attachment 2934235
Ukiwa na tatizo la moyo, mfano kuwa na moyo mkubwa (Cardiomegaly) au mapigo holela (arrhythmia), inaweza kukuletea excess pressure kwenye mapafu, na kusababisha irritation kwenye alveoli (air sacs) ambayo inakufanya ukohoe mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom