Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

public beach in dar is a slum.

Image
 
Dunia nzima inajua Maghufuli alikufia Kenya. 😂 😂 S
Alafu akarudishwa Tz kwa basi au sio, mana anga lilifungwa by that time, na alirudishwa kimya kimya c ndiyo, kwamba hakuna aliyejua wala aliyepata picha ya tukio mpaka media za kenya. Wakenya mnapenda sana kujipa umuhimu ambao hamna, yani Magufuli asipelekwe India au China au SA aletwe Kenya? Rais gn wa Tanzania ulisikia anapelekwa shit hole za Africa kutibiwa? Nipe mfano mmoja tu ni rais gn au hata vice president au spika wa Tz aje Kenya kutibiwa tusimguse Magufuli mana huyo chuki yake dhidi ya kenya ilikuwa wazi kabisa.
 
Dar is a slum full of old cars and garbage. 😂 😂 😂
Image
Hakuna uchafu kama huo Tanzania kwa sasa, picha za enzi ya mwinyi unajifariji nazo, I can post thousands of same pictures from Nairobi CBD, unabisha nianze? Usifosi tufanane, Dar es salaam ni jiji la pili kwa usafi EA baada ya Kigali utake usitake.
 
Tanzania ndo faraja yao kwa hiyo bila Tanzania hawana faraja Mulizeni Uhuru au hospital iliyo mtibu
Baada ya kupata official statement wakaachana na hekaya za kwenye chang'aa wote wakaunga juhudi na ndio ikawa official mpaka milele hata mlie 😁😁😁

View attachment 2933555View attachment 2933556

Hahaha Hawa nyumbu wana jaribu kila namna wawe part kwenye history ya magufuri lakini wapi ndo wanazidi kupigwa vya mbavu
 
Hakuna uchafu kama huo Tanzania kwa sasa, picha za enzi ya mwinyi unajifariji nazo, I can post thousands of same pictures from Nairobi CBD, unabisha nianze? Usifosi tufanane, Dar es salaam ni jiji la pili kwa usafi EA baada ya Kigali utake usitake.
Enzi za Mwinyi kulikua na mark x na number plates za TD 👇 👇 😂 😂

Image
 
Back
Top Bottom