Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkitukanwa mnasema watu sio wastaarabu.
Tanzania kuna DISTRICT REFERRAL HOSPITAL NA REGIONAL REFERRAL HOSPITAL.
HIYO TAARIFA ULIYOLETA INAONESHA JUMLA YA REGIONAL REFERRAL HOSPITAL.
HAIJALETA NA DISTRICT REFERRAL HOSPITAL.
Unapinga taarifa ya ministry of health. 😂 😂 😂 Enyewe wewe hua fala.
 

Hii hasira yote imeletwa ju ya hii. 👇👇😂😂😂 Hospitali 11 pekee za mkoa ndio zikona dialysis machines.

Image
 
Ajabu ni kwamba wakenya wengi wanafurika Tanzania kutafuta matibabu hio ndio ajabu 😂😂😂😂😂😂😂
Magufuli alikufia Kenya, Tundu Lissu alikuja kutibiwa Kenya, professors wote wa Tanzania wanatibiwa Kenya. Politicians wenu wote wanatibiwa Kenya.
 
Unapinga taarifa ya ministry of health. 😂 😂 😂 Enyewe wewe hua fala.
Taarifa uloleta imeonesha regional referral hospital pekeyake.
Sijaipinga ila nimekusahihisha kuwa 28 hizo ni hospitali za rufaa za mkoa peke yake.
BImaana hazijawekwa na za wilaya.
Embu kasome huwend umeleta link pasi na kuisoma.
 
Magufuli alikufia Kenya, Tundu Lissu alikuja kutibiwa Kenya, professors wote wa Tanzania wanatibiwa Kenya. Politicians wenu wote wanatibiwa Kenya.
Acha ufalae wewe kuhusu MAGUFULI TULISHALISAHIHISHA MAGUFULI HAKUFIA KENYA MATAKO NYIE ACHENI UZUSHI WENU WA OLDUVAI GORGE KUWA KENYA.
Tundu Lissu aliomba kutibiwa Kenya kwasababu za usalama maana alidai kuwa kwa lile shambulio wangemrudia kummalizia kama angekua anatibiwa Tanzania.
Mbona Edward Lowassa amefia JKCI Muhimbili??
Je yeye sio mwanasiasa wa Tanzania??
 
Ni kipindi cha ww11 Ujerumani alipoteza kilakitu Africa akapewa Tanganyika kuisimamia baada ya mda mfupi JK adai uhuru hawakuwa na kipingamizi akaachia ndo maana unaona hutukuadapt vitu kutoka kwao
Mkuu wataka kusema Britain ilitutawala kama Mandate ama??
Maana siye tumepata uhuru toka kwao.
 
Back
Top Bottom