Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo Army was in my hometown this week training… poorly equipped with world war 2 sufuria helmets..😂😂
IMG_2521.jpeg
IMG_2520.jpeg
IMG_2519.jpeg
IMG_2518.jpeg
IMG_2517.jpeg
IMG_2516.jpeg
 
Kenya has 54 referral hospitals. Of these, 7 are national referral hospitals while 47 are county referral hospitals
Nyie wanuka mavi bado sana.

Sisi tuna mikoa zaidi ya 28 na kila mkoa una referral hospital ya mkoa. Kila mkoa una wilaya zaidi ya 3 na kila wilaya ina referral hospital ya wilaya na hapo hujaja zonal hospitals.
 
12km from Dar is a slum CBD 😂 😂 😂 😂 👇 👇 Au nimedanganya?
12km from dar cbd, imejengeka mbaya sana. 😂 😂 😂 👇 👇
Dunia ni mviringo au wewe ni wale waumini wa flat earth? Kwa umbali wa 12km kutoka pwani huwezi kuona chochote chenye kimo chini ya 30ft (10m). Dar kubwa, sasa inategemea wapi hiyo picha imepigwa, kama hakuna jengo la kimo cha angalau 40ft (12.19m) huwezi ona kitu.
 
Hospitali hupewa rank ju ya vifaa na services offered. Kenya all the 47 county referral hospital zikona renal units. Bongoslum only 11 regional referral hospitals ndio zikona renal units. So bado mko nyuma kama matako. 😂 😂 😂
Sasa nini ni tofauti Kati ya county hospital na regional referral Hospital?
 
Back
Top Bottom