Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Their government came for benchmarking at Kenya University Teaching and Referral Hospital.

Their minister was very happy to see big and modern hospitals in Kenya.

She even begged if Kenyan government could allow Tanzanians to come and get treated at KUTRH.
Umeyatoa wapi? Au unajifariji tuwekee link inayoongelea exactly kama unavyosema "she begged"

Wakati private hospitals ndio bora hapo kuliko public
 

Attachments

  • 2d8458faf16f551560784513b0ed5fef.mp4
    1.1 MB
Nina serious question, hizi nchi za EA kuna raia anavuka Kwenda Kenya kusaka life nowdays? Linchi ambalo limeshindwa kutoa fursa kwa raia wake hadi wakaishiwa kuuzwa kama wafanyakazi wa ndani?

Alafu jitu linakuja kutupigia kelele eti Kenya is ahead wakati linatamani kuzamia Bongo.

Tanzania ni nchi inaweza kukutoa kila sector ukiwa serious. Haijalishi upo chini au juu.
 
Nchi seriously inajisifia kuwa na Kambi ya jeshi la nchi nyingine, masikitiko sana.

Alafu wanakwambia kisa zipo UK na Europe, mijitu haijui kua kuna NATO Alliance.

Sometimes unawaangalia hawa Wakenya unaishia kusikitika, Africa history hawana mchango kabisa wana reputation mbaya. KULAMBA MATAKO YA WAZUNGU

Kama nchi hamna cha kuuzika nje, inaishia kutusumbua na vitu vyetu na vya mataifa mengine, kujichekesha chekesha kila mahali.

Just nenda TikTok any video nzuri ya Tanzania, wasiposema ni vya Kenya nalog off Jf.
 
Back
Top Bottom