MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,603
- 11,819
Eti hii ndio ligi kuu ya hawa nyang'au. Washukuru sasa angalau Azam TV wameanza kuonyesha mpira wao.😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=qABuB8WxYdA
Mkwakwani wana kiwanja kizuri
Eti hii ndio ligi kuu ya hawa nyang'au. Washukuru sasa angalau Azam TV wameanza kuonyesha mpira wao.😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=qABuB8WxYdA
Hizo nyumba hapo nyuma aiseee....This is a pure football stadium. You don't have such in Tanzania.
View attachment 2929487View attachment 2929488
Participating is not an issue, even AFCON huwa mnaparticipate and yet Tanzania have never even won a single game.Sikutizama vizuri.
No.7 Tanzania ishashiriki je Kenya mumewahi kushiriki?
Maybe you don't understand the meaning of good in this context.Unawezaje pata revenue in sports kama hauko good in sports??
Tanzania is good at Football and boxing.
Na pia hiyo Fifa women world cup Tanzania ishashiriki we Kenya umewahi shiriki???
Kazi ya watchman inakupeleka aje?Hizo nyumba hapo nyuma aiseee....
😂😂😂😂😂Who knows CAF?
Kenya is participating in World competions wewe unaongelea competition ya villagers not known by anyone.
Which Sport is Tanzania good at?😂😂😂😂😂
Ila Wakenya kw kujitekenya...
anza kupost earnings zenu za Rugby mnazoingia fainali, alafu tukuletee salary slip ya Chama wa Simba
Tupostie Earnings ya mshindi tukuletee mishahara na usajili unaofanywa na timu za Tanzania kabla Simba na Yanga tutakuwekea timu moja ya SingidaMaybe you don't understand the meaning of good in this context.
When I ask what Tanzania is good at I expect you to show me the awards and trophies Tanzania won in a particular sport.
Something like this.
View attachment 2930178
Mimi na kwambia lete mapato ya timu zenu za Rugby na wanariadha wenuWhich Sport is Tanzania good at?
Hizi ndio sports Tanzania is good at?Tupostie Earnings ya mshindi tukuletee mishahara na usajili unaofanywa na timu za Tanzania kabla Simba na Yanga tutakuwekea timu moja ya Singida
Which Sport is Tanzania good at?Mimi na kwambia lete mapato ya timu zenu za Rugby na wanariadha wenu
Does Tanganyika even has..❌Does Tanganyika even has a women's national volleyball team?