Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why then hawaweki picha ili watuumbue humu?
This is Mombasa skyline. The difference between Mombasa and Dar are just three blue towers
18155322_1000069753_jpeg8b9dfb71b361bb6a138a0d3d4bfa8f11.jpeg
 
Asante kwa kuokota picha za Google na Sisi hua tunafurahi vile mukijidanganya alaf baadae munashtuka kumekucha kama vile tandale unavoigopa😂😂😂😂
Asante kwa kuokota picha Google na Sisi hua tunafurahi vile munavojidanganya alaf baada munashtuka kama vile tandale ilivokufunga mdomo sisikii ukiitaja kabisa tandale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Of course picha tunaokota google

Zingine hizi hapa za kuokotwa Google
images - 2024-02-05T210932.106.jpeg
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg
images - 2023-11-08T180255.934.jpeg
images - 2023-11-21T202754.398.jpeg
 
Wewe ulikuwa na upo nafasi ya ngapi sasa hivi na 'ubora' wa ligi yako mbona haikukusaidia kupata angalau bao moja AFCON?
Unazungumzia Tanzania kufungwa mechi moja na kutoa sare mechi zilizobaki ikiwa imepangiwa DRC,Morocco na Zambia???
Halafu acha ufala Taifa stars ilisare 1-1 dhidi ya Zambia.
Pia tizama hizo timu zote katika viwango vya FIFA ni kuanzia 91 kwenda juu.
Tumecheza na timu ambazo 85% ya wachezaji wake wanacheza top 5 teams ligi kubwa EPL,Serie A ,bundesliga na La liga.
Jielewe we mshamba usiropokwe hapa.
 
Back
Top Bottom