Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakuja training Kenya na wanasema jeshi lao ndio strongest in the region. 🤣 🤣
Hapo ni Kenya, show us any info, na unaona hapo Wakenya wanafundisha, huyo mzungu ni mkenya?

Sasa njoo bongo
Screenshot_2024-02-04-13-41-08-449_com.android.chrome.jpg

Meanwhile maafisa wakubwa wenu ndio tunafundisha.

Sometimes akili zenu zimeliwa na mchwa.
 
Kuna mtu amekataa kuwa walikuwepo kwa ajili ya mazoezi yaliyohusisha nchi 23?
Mazoezi yalikuwa yanaongozwa na US army not your Kenya Dimwits Force.
Tunakataa upotoshaji wa kuweka habari nusunusu
And why do you think the US army chose Kenya as the base of that training?
 
Nairobi has more concentration of good stadiums than anywhere in East and Central Africa.

Dandora the only available pure football stadium so far in East Africa.

View attachment 2929456View attachment 2929457
Does this shit qualify for CAF, FIFA standards? Eti Concentrated in EA?

Huaga mnachekesha sana na sifa zenu za kijinga.

Ona sasa jeshi lenu limepewa nguo za kukodi na night vision, mnajiona jeshi kubwa, huku Baringo Bandits usiku na mchana wanawatungua.

Uganda mlimshindwa Magingo, Congo mmekimbia, Alshsbaab washafanya Ukanda wa Lamu, mandela na Kenya North West usiwe safe.

Kazi kutupigia kelele na Jeshi ya Photoshoot.
 
Kuna mtu amekataa kuwa walikuwepo kwa ajili ya mazoezi yaliyohusisha nchi 23?
Mazoezi yalikuwa yanaongozwa na US army not your Kenya Dimwits Force.
Tunakataa upotoshaji wa kuweka habari nusunusu
Ndio nashangaa, Unaona kabisa anayetoa training ni Mzungu, ila mijitu inakaza fuvu eti ndio wanafundisha TPDF yaani ni Jokes, TPDF ijifunze kwa KDF kwa lipi? Mbinu ya kuiba mikate na kukimbia vita?
 
Zoom hapo utuoneshe slum ambayo mzungu hajawahi kuona ila wewe ndio umeona zoom hapo tuone slum🤣🤣🤣🤣🤣

Yani ww uwe na akili kuliko mwenye Google earth 😃😃😃😃😃
So slum lazima itajwe na mzungu ndio iwe slum. Hii inferiority complex itawaacha lini?
 
Does this shit qualify for CAF, FIFA standards? Eti Concentrated in EA?

Huaga mnachekesha sana na sifa zenu za kijinga.

Ona sasa jeshi lenu limepewa nguo za kukodi na night vision, mnajiona jeshi kubwa, huku Baringo Bandits usiku na mchana wanawatungua.

Uganda mlimshindwa Magingo, Congo mmekimbia, Alshsbaab washafanya Ukanda wa Lamu, mandela na Kenya North West usiwe safe.

Kazi kutupigia kelele na Jeshi ya Photoshoot.
Show me a pure football stadium in Tanzania if at all mko nayo. And I have said stadium not field, so don't post that Azam grazing field here.
 
Back
Top Bottom