Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unazungumzia Tanzania kufungwa mechi moja na kutoa sare mechi zilizobaki ikiwa imepangiwa DRC,Morocco na Zambia???
Halafu acha ufala Taifa stars ilisare 1-1 dhidi ya Zambia.
Pia tizama hizo timu zote katika viwango vya FIFA ni kuanzia 91 kwenda juu.
Tumecheza na timu ambazo 85% ya wachezaji wake wanacheza top 5 teams ligi kubwa EPL,Serie A ,bundesliga na La liga.
Jielewe we mshamba usiropokwe hapa.
What's Tanzania good at?

1709993476745.jpg
 
YN
Ghorofa za four floors ndio zinwashtua. 😂 😂 😂 Enyewe muko nyuma kama matako.
Yani jamaa anatuonyesha video ya maghirifa yakijengwa sinza?🤣🤣🤣
Alafu jamaa anazitaja one by one Kwa majina! Wtf!!!

Yani nikipiga picha na muonekano wa Nairobi, I just say that kweli wenzetu bado wako nyuma and it will take them ages to get where we are. Imagine Eastlands alone ni maghorofa everywhere you look at
 
YN

Yani jamaa anatuonyesha video ya maghirifa yakijengwa sinza?🤣🤣🤣
Alafu jamaa anazitaja one by one Kwa majina! Wtf!!!

Yani nikipiga picha na muonekano wa Nairobi, I just say that kweli wenzetu bado wako nyuma and it will take them ages to get where we are. Imagine Eastlands alone ni maghorofa everywhere you look at
In 2024 majamaa bado wanafurahia kuona ghorofa na dual carriageway.
😂 😂 😂
 
You have just proved his point that your poor army came to Kenya for trainings.
Kumbe we ni matako??
Imekuja Kenya aliyeitisha hiyo joint exercise ni USA.
Na yeye ndiye aliyeratibu hayo mafunzo.
Hamkutuita ninyi na hamkuratibu ninyi.
 
Work hard mkuwe hata na pure football stadium Moja. Alafu hapo watu wamesimama.
Umia vzr na bado 🤣🤣🤣🤣🤣 na mm napenda unavoumia naskia Raha Sana

Fikeni stage mupate angalia kiwanja kimoja Tu chenye FiFA au CAF standards alaf uje tuongee sasa

Nchi inamiaka 60+ haina hata kiwanja kimoja chenye FIFA au CAF standard na hakuoni hata aibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kondoo ni wewe na wale vilaza wenu waliokuja kupata mafunzo Kenya
Acha ubishi wa kifala we jamaa.
Mataifa takriban 20+ yalikuja Kenya kwa wito wa USA SIO KWA WITO WA KDF.
NA IMEFANYIKA HIVYO KWASABABU KENYA KUNA US MILLITARY BASE.
TANZANIA HAKUNA US MILLITARY BASE.
Na aliyeratibu mafunzo ni US army sio KDF.
Punguza ubishani wa kifala.
 
Back
Top Bottom