Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,604
- 5,737
Adesina alikua one of the best friends of Magufuli, Samia anapata huu ukaribu sababu Adesina ni true friend's keeper na aliahidi mipango yote waliopanga kuhusu Tanzania na Magufuli ataitimiza
View: https://twitter.com/akin_adesina/status/1372296752875851781?t=_TrYSoWAzP5MF38o3qdhbg&s=19
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1492034751624007681?t=jyNtiwAgCNLudjiK6WQ3eA&s=19
View attachment 2926241
View attachment 2926239View attachment 2926240
kifo cha huyo mwamba kiliniuma sana mimi ni mpinzani lakini nlikuwa namkubali sana na nlimpigia kura nlilia sana kwa kifo chake tutachukua muda sana kumpata raisi mwenye maamuzi kama yeye na upendo kwa nchi yake.