Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tukupe Zawadi ama?
Hivi mnavyoita school, shule na money hela ni nani kayaleta hayo maneno Kunyaland sababu yanajulikana yametoka kwenye Kijerumani ambapo wajerumani hawakuwahi kuitawala Kunyaland isipokua Tanzania 😁😁 mtakuja kusema ni maneno kutoka Kunyaland

Yaani kuna kila aina ya ushahidi kuprove kiswahili sio mali yenu
 
Sasa Onesha yupi wa Kwanza kati ya hizo jamii kuingiza ikulu kwenye official usage 😁😁
Huyo atakusumbua kaka hana ajualo 🤣🤣. Yeye anabishana na mtanzania kuhusu historia ya Tanzania ambapo watz walisoma hiyo historia tangu watoto wakiwa shule while yeye anaingia google 2 minutes, wonderful enough anajiona yeye ndio anajua zaidi, sasa kaka si zongo hilo.? Unadhani mtu wa hivyo anaweza kuwa timamu kichwani.?. 🤣🤣🤣
 
Una ufala mwingi tatizo, we all copied from our previous master, UK basi kamwambie mfalme charles aache ku copy kwenuView attachment 2925811
Wao ndio wamecopy kwetu sisi tumeweka mlima kilimanjaro wao wameweka mlima Kenya, sisi tumeweka karafuu ya Zanzibar na pamba ya Bara kumaanisha muungano wao wameweka mahindi na maharage sijui yana maana gani šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Maharagwe wanalima wapi?
 
This particular court of arms was adopted in 1971. Mnakuwanga na ubishi wa kifala.

🤣 🤣 🤣 🤣 Hiki kingereza au kikenya?
1709726298158.png

Coat of Arms
 
Hivi mnavyoita school, shule na money hela ni nani kayaleta hayo maneno Kunyaland sababu yanajulikana yametoka kwenye Kijerumani ambapo wajerumani hawakuwahi kuitawala Kunyaland isipokua Tanzania 😁😁 mtakuja kusema ni maneno kutoka Kunyaland

Yaani kuna kila aina ya ushahidi kuprove kiswahili sio mali yenu
Sasa mnataka tuanze kureview Kiswahili word by word tukiprove yametoka wapi? Enyewe you guys are petty.
 
Wao ndio wamecopy kwetu sisi tumeweka mlima kilimanjaro wao wameweka mlima Kenya, sisi tumeweka karafuu ya Zanzibar na pamba ya Bara kumaanisha muungano wao wameweka mahindi na maharage sijui yana maana gani šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
🤣🤣🤣 Nilitaka kuuliza hili swali, yale mahindi na maharage kwenye ngao yao ya taifa yana symbolize nini.? Kwasababu wao hawalimi hizo vitu they depend on us. 🤣🤣🤣 Taifa limejichokea sana hilo
 
Sasa mnataka tuanze kureview Kiswahili word by word tukiprove yametoka wapi? Enyewe you guys are petty.
Mnasema second ni sekunde, kilogram ni kilo, kilometers ni kilometa mnajua hayo maneno yametoka wapi? Kiswahili kwa Tanzania ni official language toka enzi za mjerumani wakati Kunyaland kiswahili kimekua official 2005 😁😁😁
 
🤣🤣🤣 Nilitaka kuuliza hili swali, yale mahindi na maharage kwenye ngao yao ya taifa yana symbolize nini.? Kwasababu wao hawalimi hizo vitu they depend on us. 🤣🤣🤣 Taifa limejichokea sana hilo
Wakundustan hawana akili, wao ni kuangalia Tanzania inafanya nini ili nao waige, em angalia wanavyoshobokea utanzania, eti UJAMAA, bila Tanzania Kunyaland wangejua ujamaa ni nini? 😁😁 Lakini watakuambia kiswahili chao šŸ˜‚

Screenshot_20240221-143420.jpg
 
Back
Top Bottom