NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
Ile ya kukasirisha Bongolala asubuhi 😀 😀 😀
ofcourse Ethiopia is next! Hili suala Mseveni alilielezea vizuri akitoa mfano wa the US and wild Wild West! Kama the eastern US ingekuwa na fikra kama zako ingebaki a nation of 13 states na si 50 plus ya Leo!Tunajaza nchi zilizooza kwa matatizo ya kiuchumi na anguko la kisiasa,je tutaweza kabiliana na hili??
Maana katika hii jumuiya ni Tanzania pekee yuko imara kwenye kukabiliana na changamoto.
Maana hata rais wa Somalia mwaka jana alimlilia mama Samia kwenye ufunguzi wa barabara mpya ya kikanda Arusha.
Mie sijafurahia sana maana kiuhalisia Tanzania imejiongezea mzigo begani.
Na hao kina Abiy Ahmed watizameni msije anza sikia nao wataka jiunga.
Nyumba zote za tope hapo 🤣🤣🤣🤣Mbona nyumba zina fangasi? Picha imepigwa make up lkn nyumba zinakataa make up fungus kama zote, mombasa kweli ni mji mkongwe 🤣🤣🤣🤣🤣
Ikulu is a key bantu word that means 'Heaven' or 'High Place' or 'Palace'. Almost every Bantu language has it. The fact that Bongolalas are mesmerised by it trying to create a stupid nationalism about it is just laughable. Here are versions of the word Ikulu from various Bantu languages that mean 'high place' or 'residence of the King/God' in case anyone felt like feeling special.
Luhya (Middle Dialect) - Ikulu/Mwikulu
Luhya (Southern Dialect) - Iguru (Mwiguru)
Kikuyu - Iguru
Kiganda - Eggulu
Kinyarwanda - Ijuru
Zulu - Izulu
Xhosa - Izulwini
Kikamba - Ihulu
Kikisii - Iguru
Sukuma - Ikulu
Here is Rufftone's song done in English and Luhya titled Mwikulu to mean Heaven.
View: https://youtu.be/ml0vLwX_cQk?si=WmYZK679iAxcc7nn
You're the real culture thieves.
Case closed.
It's not meant for you bro. It's meant for people with good comprehension skills and an IQ of at least 95. You're neither.Duh! Hatari. Nimeamini kweli we takataka
Okay 👍 continue with render basi na IQ yako kubwa.It's not meant for you bro. It's meant for people with good comprehension skills and an IQ of at least 95. You're neither.
Talking of copy paste, isn’t this a direct replica of the Kenyan shield🤣🤣🤣 Kumbe DODOMA inakuumiza kinoma na usemi, utakufa fala wewe, gvt city iko designed ku accommodate amenities zote zenye umetaja hapo. Ni vile priority number 1 ilikua ni kutengeneza kwanza hizo ministries zote hapo zenye unaona then vitu vingine vifuate. Mf hii ni monument ambayo itakua na park for community to interact ipo under construction hiv tunavyoongea sasahiv 👇View attachment 2925626View attachment 2925627. Progress yake hii 👇"VIJIMAMBO: DKT. YONAZI APONGEZA HATUA ZA UJENZI WA ENEO LA MNARA WA MASHUJAA" DKT. YONAZI APONGEZA HATUA ZA UJENZI WA ENEO LA MNARA WA MASHUJAA.
Ikulu is a key bantu word that means 'Heaven' or 'High Place' or 'Palace' or 'residence of the King/God'. Almost every Bantu language has it. The fact that Bongolalas are mesmerised by it trying to create a stupid nationalism about it is just laughable. Here are versions of the word Ikulu from various Bantu languages that mean 'high place' or 'residence of the King/God' in case anyone felt like feeling special.
Luhya (Middle Dialect) - Ikulu/Mwikulu
Luhya (Southern Dialect) - Iguru (Mwiguru)
Kikuyu - Iguru
Kiganda - Eggulu
Kinyarwanda - Ijuru
Zulu - Izulu
Xhosa - Izulwini
Kikamba - Ihulu
Kikisii - Iguru
Sukuma - Ikulu
Here is Rufftone's song done in English and Luhya titled Mwikulu to mean Heaven.
View: https://youtu.be/ml0vLwX_cQk?si=WmYZK679iAxcc7nn
You're the real culture thieves.
Case closed.
Sasa tukupe Zawadi ama?Wacha upumbavu Tanzania ndo ya ku-coin neno Ikulu kwenye Kiswahili! Na Nyerere ndiye aliyefanya Hilo kutoka light ya Kigogo! Na kwa vile Ikulu huwa ni moja tu Ugogoni chief wao aliita Ikulu Makulu kwa heshima. Kuna clp youtube!
Una ufala mwingi tatizo, we all copied from our previous master, UK basi kamwambie mfalme charles aache ku copy kwenuTalking of copy paste, isn’t this a direct replica of the Kenyan shield View attachment 2925764
Yani sijui kwann wanatumia nguvu nyingi Sana kuaminisha watu mm nashindwa kuelewa kabisa😁😁😁
Bongolalas bado wanalia eti ni render, kwa ground kazi inaendelea full force.Ile ya kukasirisha Bongolala asubuhi 😀 😀 😀
![]()