Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Wakenya wanajidanganya hadi wenyewe, ati mtu anadai kwamba anajenga nyumba na bei ya kujengea hajui 😂😂.Best house in EA hana hata boq? Nyumba zinazojengwa kienyeji ndio watu hawajui hata mwisho watatumiq kiasi gani. Ila mansion nyumba serious kabla ya kujenga unajua kila kitu. Na anajenga mkandarasi mshakubaliana bei sio fundi maiko unamuita kila ukipata vilaki kadhaa.