Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo nakubaliana nawe kabisa...ni mara mingi sana nimefanya cross-check kabla kuwasilisha hoja. ubaya ni kwamba wenzako wabongo hawakubali ukweli hata kama inadhihirika aje
according to the nature of this discussion don't expect someone to agree with your opinion/information however how credible your source is....disagreement is part of the thread.. so relax.

kwani kuna Mkenya anayekubari maendeleo ya Tz kwa thread hii?.kama yupo nionyeshe.
 
We copied 1 tower, you guys copied an entire city called Port of Spain

Ma PSPF, BOT na TPA zote mlicopy-paste toka hapa, tazama

Hizo hata haziendani hata kidogo labda tu umekosa ushahidisisi yetu ni majengo pacha ila hayaendani kiumbo na hayo kama hiyo replica yenu from one world Trade Center
 
We copied 1 tower, you guys copied an entire city called Port of Spain

Ma PSPF, BOT na TPA zote mlicopy-paste toka hapa, tazama

Hehehe...umewapata kweli. hii hapa watapita kana kwamba hawajaiona
 
Hizo hata haziendani hata kidogo labda tu umekosa ushahidisisi yetu ni majengo pacha ila hayaendani kiumbo na hayo kama hiyo replica yenu from one world Trade Center
Yani hata kitu ya wazi hivi mnakana?
 
Sisi sio kama nyie mlio dandia kucopy hadi tower za watu wakati mnapesa kiduchu mkaona mjenge little sijui muitwe new york ndogo
Yaan aka kajengo kenu ni kafupi
Kajengo ka pembeni kana ghorofa 5. Ila kanaonesha ni karefu pemben ya hio
Aka ata TZ ghorofa la pembeni kwa TPA au PSPF unaweza kuta lina 18 lkn kanaonekana ni kadwaf kwa TPA
hicho ni kihakikisho tosha kuwa vijengo vywenu ni vifupi ila mnalazimisha2 kwa kupika data http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/3aabb5e763cb3fb58ed749
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/7ddacbd8f28caedfce872dca3cef22ad.jpg
 
Nimeangalia kwote na sijaona kitu Tanzania inashindia Kenya. Labda kuongea Kiswahili tu
Yes, Kiswahili ni moja,
Lakini pia
1. mwonekano,(wakenya wengi mna sura za Faru hadija)
2. Umoja, (wakenya wengi ni Wakabila sana)
3. Roho mbaya (Wakenya wengi mna roho mbaya mno, Killing someone isn't an issue in Kenya)
4. Uchafu (Many Kenyans are extremely dirty, and I am speaking this with confidence, ukipishana na Mkenya ni kama umepishana na Dustbin)
5. Hata miji ya Kenya Including Nairobi ni pachafu sana, Ndio maana ni Kenya pekee watu wanaambukizwa kipindupindu kwenye 3* Hotel
6. Njaa, Wakenya wengi hawapati mlo kamili, wengi wanakufa njaa huko Northern Kenya, Tanzania kuna Varieties nyingi za Vyakula,
Miaka na Miaka tumekuwa tukilisha Kenya.

List ni ndefu niishie tu hapa.
 
We copied 1 tower, you guys copied an entire city called Port of Spain

Ma PSPF, BOT na TPA zote mlicopy-paste toka hapa, tazama

Sio vibaya kukopy,tatizo lenu mmeharibu ubunifu wa watu.hiyo ya NY ina mvuto na inangaa na ni ndefu sana tofauti na jinsi mlivyolipua yenu.

Hiyo ya spain ukiangalia ni kama ilovyo dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…