Brothee that house which you posted here ni ya Mtanzania anayejengwa kwa kudunduliza.According to you this is the house of a rich man in Kenya?
View attachment 2918923
And this is the house of a poor man in Tanzania?
![]()
Yani asiye na uhakika wa kipato toshelezi na hata gharama yake ukitajiwa ushangae aisee.
Hii nyumba imejengwa Mkuyuni Morogoro kijiji hata rami ya uhakika hakina kijiji cha wakulima na wafugaji.
Hiyo imejengwa kwa tofali za kuchoma na ikapigwa skimming na paa muinuko.
Yani kiufupi aliyejenga ni mtu wa kipato cha kawaida sanaa anaetegemea kuvuna mahindi na kuuza maziwa.