Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
Tayari huko kumeamza kuvujaView: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19
Mtu kala sawa na 'urefu wa kamba yake'. Acheni wivu, ruksa ilishatolewa
Awamu hii, hata wew ukitaka kupiga, piga. Lkn usiwasahau kuwagawia waliokuzunguka ofisin ili wasione wivu wew kula peke yako
Chawa wa mama tena??😂😂😂😂
Kwani na wenyewe ni wafanyakazi wa serekali na Wana budget Yao kabisa au?
Tayari huko kumeamza kuvuja
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19

Dar will offer better terms with competitive pricesLabda wanataka wawabadilishe mawazo waendelee kutumia Mombasa
Hawa ndo wapewe nchi kuiongoza kazi ipo bora CCM itawale milele
View: https://twitter.com/Mwabuk2Boniface/status/1762363834897990052?t=UBQ6GrHVPwtyCOcVl1oWVw&s=19
Naona unataka kulianzisha tena.Pachesing' pawa
Inavuja paa ana canopy? 🤣🤣🤣Na imefanyiwa renovation juzi Tu SASA hvi inavuja hvi wakenya Nani aliwaroga yarabi😅😅
Nafkiri ni extended canopy ndio inavuja🤣🤣Inavuja paa ana canopy? 🤣🤣🤣
Hawa ndo wapewe nchi kuiongoza kazi ipo bora CCM itawale milele
View: https://twitter.com/Mwabuk2Boniface/status/1762363834897990052?t=UBQ6GrHVPwtyCOcVl1oWVw&s=19