Hiyo ya gharama ya umeme mimi jana nilishangaa kwa kweli. Hii reli itakuja tengeneza faida kubwa kama hakutakuwa na upigaji.First trial with pasengers lazima wawe cautious subsequent trial speed will be a notch higher.
Hapo ni kusema treni imetembea with average speed ya 100 -120 to cover a distance of 195km including stopping at all 5 stations in between.
Halafu gharama ya umeme to and fro ni USD 120 very cheap indeed compared to diesel poweref train.
"you know you know,,,yada yadaaa ohh ohh electrikiii".....makwapa.........lol
Wivu ni kitu kibaya sana😎"you know you know,,,yada yadaaa ohh ohh electrikiii".....makwapa.........lol
Alipost akaona hamna aliyempa attention anayotaka ikabidi ajiquote mwenyewe. 😂😂😂Wivu ni kitu kibaya sana😎
Buses mpya 177 zimeagizwa kwaajili ya BRT phase 1 pekee ili kuimarisha huduma, tutapokea buses hizo mwaka huu 😂😂 Hiyo phase 2 ikianza sijui tutaingiza basi ngapi Duh, msikilize hapa boss wa BRT 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C3170W-KPOa/?igsh=Ym81OGJkMTh4bHl0. Wakunya wao waendelee kupanda matatu hadi mwisho wa dunia
Vitasa ni vingi sana yaani ni bandika bandua 👇👇Mwezi huu wa 3 2024 vitasa vimekuwa vingi sana
1. JNHPP
2. SGR testing
3. Fuel farm tender
4. Dar Port expansion 4 berths
5. Bagamoyo port construction 2 berths
Listi ni ndefu I lost track of the rest
Contrary to what most people think umeme wa train hutumika ku run traction motors sasa watu wakizungumzia treni ya umeme wanafikiri inakula umeme mwingi na nchi inaeza ikashindwa kuendesha treni. Umene wa few motors per train ni kitu kidogo sana.Hiyo ya gharama ya umeme mimi jana nilishangaa kwa kweli. Hii reli itakuja tengeneza faida kubwa kama hakutakuwa na upigaji.
Vitasa ni vingi sana yaani ni bandika bandua 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C32jyIlotyt/?igsh=dm5id3ljM3VwdWFh
Electric SGR ni expensive kujenga lakini in the long run you will laugh all the way to the bank while others are grappling with ever rising crude oil prices.Hiyo ya gharama ya umeme mimi jana nilishangaa kwa kweli. Hii reli itakuja tengeneza faida kubwa kama hakutakuwa na upigaji.
Paddington kuna vyuma vimetulia vya Great Western Railways 😁 kama Tz tuu na Canopy yao kuubwa 🤣🤣🤣Hii inanikumbusha ukiwa unaingia Paddington station pale London