Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
🤣🤣Yaani nimecheka sana. Huyu dogo. Anasema 8 years ago alikuwa yupo chuo. Maana yake umri wake is not more than 27 year.
So ukishamjua mbwa wako hakupi shida.
🤣🤣Yaani nimecheka sana. Huyu dogo. Anasema 8 years ago alikuwa yupo chuo. Maana yake umri wake is not more than 27 year.
So ukishamjua mbwa wako hakupi shida.
Tueleze kwanini ulikimbia Nairaland na SkyscraperCity?Haya, tuambie uliona movie ya Tiny: The Gift hapo Netflix mwaka gani.🤣
Miaka hii mtu anaringishia watu Netflix. 😂😂😂Yaani nimecheka sana. Huyu dogo. Anasema 8 years ago alikuwa yupo chuo. Maana yake umri wake is not more than 27 year.
So ukishamjua mbwa wako hakupi shida.
mwenyenzi mungua atujalie kwa hiloSimba ikishinda mechi ijayo Jmosi hata kwa kagoal kamoja dhidi ya Galaxy.
Tanzania itakuwa nchi pekee AFRIKA NZIMA yenye timu mbili zilizoingia robo fainali ya CAFCL
View attachment 2915085
View attachment 2915086
Relax. Hamna haja ya hasira. Ukiambiwa ukweli usikasirike. Umeiwatch lini movie ya The Gift pale Netflix.🤣Uliza mamaqo.
Mwingine anapost 24" Itel TV and then he goes ahead to edit it with Snapshots 😂😂🤣😂.Mtu anapost remote control eti sasa hiyo ndio exposure na bado anabaki na nguvu za kuongelea ushamba.🤣
Bro ambia ndugu zako Netflix sio kitu luxury it's just a movie platform 🤣🤣 ambia waache ushambaI finished Netflix Mpakani series…. Fire Fire …ni moto sana… can’t wait for the second season… lots of questions left unanswered… Hongera to the production team… Kenya leads others follow…
Wewe mwenyewe umeturingia na remote alafu umkosoe anayeringa na Netflix.🤣Miaka hii mtu anaringishia watu Netflix. 😂😂😂
Lack of exposure ni mzigo.
mfunze mwenzio kiswahili mnakuanga ndio nini inapaswa iwe mnakuwa ama mnakuwagaWengi wao hapa ni washamba na maskini ajabu.😂😂😂
Halafu wamekariri kuwa ku-stream movie ni Netflix tu wakati kuna sehemu kibao za ku-stream. 😂😂😂Bro ambia ndugu zako Netflix sio kitu luxury it's just a movie platform 🤣🤣 ambia waache ushamba
Yani hata itel TV ya 24k lazima aibe picha aedit.🤣🤣Mwingine anapost 24" Itel TV and then he goes ahead to edit it with Snapshots 😂😂🤣😂.
Kwa ushamba I think watanzania wamechukua number.
Finya tu hapo usimuache😂😂😂.Relax. Hamna haja ya hasira. Ukiambiwa ukweli usikasirike. Umeiwatch lini movie ya The Gift pale Netflix.🤣
Kwanza kuna movie streaming site nyingi tu. Tunabishana na ng'ombe hizi kuhusu Netflix!!!Miaka hii mtu anaringishia watu Netflix. 😂😂😂
Lack of exposure ni mzigo.
mnakuwanga haahaa ndio maana MK254 yupo kutwa majukwaa mengine hapa kumejaa vitoto.Sii kubishana bro, Ni kujibu swali. Nimekuja kugundua Wabongo mnakuwanga na projection Sana. Yani ukiona Mbongo anakuita mshamba, jua yeye ndio mshamba. Akikuita maskini, jua yeye ndio hohehahe kabisa. Sasa wewe hapa after tumekutoa Huu ushamba wote bado una nguvu ya kuita mtu mshamba?🤣
Nimepiga picha remote kuwaonesha hiyo Netflix mnatupigia nayo kelele hapa ni kitu cha kawaida, mbona ume ignore maneno nimeandika!Wewe mwenyewe umeturingia na remote alafu umkosoe anayeringa na Netflix.🤣
Imagine amefanya editing ya 24" Itel TV na snapshots 😂😂😂.Yani hata itel TV ya 24k lazima aibe picha aedit.🤣🤣
Sawa bro, Sasa tuambie ukweli, movie ya Tunu: The Gift umeiwatch Netflix mwaka gani?😃Nimepiga picha remote kuwaonesha hiyo Netflix mnatupigia nayo kelele hapa ni kitu cha kawaida, mbona ume ignore maneno nimeandika!
Ni kama kuku ambao huwa wanafungiwa bandani tu halafu siku moja watolewe nje. 😂😂😂Kwanza kuna movie streaming site nyingi tu. Tunabishana na ng'ombe hizi kuhusu Netflix!!!
Viki, Hulu, Amazon nk. Haya maboga ndio yameingia uraiani.
Kitu ya Thao Saba.🤣Imagine amefanya editing ya 24" Itel TV na snapshots 😂😂😂.
Kuna picha ingine pia ya pesa sijui ameiba wapi kaipost😂😂🤣😂.
Wewe huna Netflix nyamaza. Nyinyi ndio wale wa kuenda kwa kibanda kuwatch movies huko.Bro ambia ndugu zako Netflix sio kitu luxury it's just a movie platform 🤣🤣 ambia waache ushamba