Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

isiolo town ndio hii inapambanishwa na dodoma😀😀😀😀😀 kwa hali hii hata nikiipa kahama basi isolo haitoboi
AF1QipOedVGxKirOqn-jSEwx4D-2DAX_mrVRcuPUUHg1=s1600-w1200
04KC24-IM1003-isiolo-town-1475.JPG
03KC24-IM1002-isiolo-town-1475.JPG
fiebig-0584.jpg
grande-hotel-21655-f4aee44f48aa60617663b3f401dd2dde69d5605b.jpg
northern-galaxy-hotel-15525-bef9e6c9f015ab37770f64b08d3d99cf74d30110.jpeg
isiolo-town-the-largest-town-on-the-north-side-of-mount-kenya-bcaxn9.jpg
images
images
images
images
images
 
Garisa CBD
IMG_20171127_121228_465.JPG

QN, Hivi kwa nini nyie wakenya mko wachafu kiasi hiki?
Tazameni miji yenu ilivyo michafu,
Tumetuma pics za Miji ya Dom, Moshi, Iringa na Arusha, hamuoni Tofauti?
Pale nairobi inabidi uzibe pua all the time Hewa nzito na ukizingatia kuna baridi, sijui pangekuwa na joto kama Dar au Tanga Pangekuwaje,
 
Garisa CBD
View attachment 638782

mzee wa iphone 7 kashakimbia alijua bado ni ile tanzania ya 90s😀😀😀😀😀😀
 
tena hakuna sehemu wakenya wananyanyasika hawana maendeleo ya aina yoyote kama garisa😀😀😀
 
hakuna zaidi ya airport isiolo sawa😀😀😀😀😀😀
Tuna Kilimanjaro International Airport (Kilimanjaro), Abeid Karume International Airport (Zanzibar), Songwe International Airport(Mbeya ), Na Bukoba Airport,
Zote zipo active,
Huo wa Isiolo zinatua ndege za kina odinga na Kenyatta wakati wa kampeni za Uchaguzi,
Wakati ukiwa pale Jomo Kenyatta Airport kuna direct flights za Kilimanjaro na Zanzibar, but hakuna flight za direct toka nchi yoyote Duniani kwenda huko Mombasa au Sijui Isoilo,
Achana na hawa wapuuzi kwenye suala la domestic flights tushawatupa kitambo.
Na sasa ATCL wanaanza kwenda Nairobi na Entebe KQ ndio basi tena
 
mzee wa iphone 7 kashakimbia alijua bado ni ile tanzania ya 90s😀😀😀😀😀😀
Hahaha, hawawezi kurudi muda huu, wanajipanga huko, leo uzi ni mbaya sana kwao,
Miji ya Kenya imechakaa na ni Michafu sana aisee, (wakenya wengi ni wachafu sana by Nature)
Pia Haya ni Madhara ya serikali kujenga Nairobi pekee na kutelekeza miji mingine.
 
Tuna Kilimanjaro International Airport (Kilimanjaro), Abeid Karume International Airport (Zanzibar), Songwe International Airport(Mbeya ), Na Bukoba Airport,
Zote zipo active,
Huo wa Isiolo zinatua ndege za kina odinga na Kenyatta wakati wa kampeni za Uchaguzi,
Wakati ukiwa pale Jomo Kenyatta Airport kuna direct flights za Kilimanjaro na Zanzibar, but hakuna flight za direct toka nchi yoyote Duniani kwenda huko Mombasa au Sijui Isoilo,
Achana na hawa wapuuzi kwenye suala la domestic flights tushawatupa kitambo.
Na sasa ATCL wanaanza kwenda Nairobi na Entebe KQ ndio basi tena
Moi international airport had 1.8 million passengers....JNIA -2.5 million
You should know your league
 
You either have a dirty phone or.. that is one of the cleanest places in Nairobi, there is no need to be salty.
Hahaha, u must be kidding,
Do one thing, katiza pale University of Nairobi, Kama umetokea huku Oracle, halafu angalia ule mto Nairobi ulivyosheheni Vinyesi, halafu niambie ile harufu.
Nyie jamaa ni wachafu sana.
 
Garisa CBD
View attachment 638782

QN, Hivi kwa nini nyie wakenya mko wachafu kiasi hiki?
Tazameni miji yenu ilivyo michafu,
Tumetuma pics za Miji ya Dom, Moshi, Iringa na Arusha, hamuoni Tofauti?
Pale nairobi inabidi uzibe pua all the time Hewa nzito na ukizingatia kuna baridi, sijui pangekuwa na joto kama Dar au Tanga Pangekuwaje,
Umenikumbusha sana
2015 Nilipofila Hapo Kiukweli sikulala
Yaani watu roho juu usalama 10%
 
Back
Top Bottom