Wewe una matatizo sana, sijui ni shule gani umesoma wewe, sasa kwa sababu 2% ni kubwa kwa hiyo haifanyi vibaya?, hivi unajua budget ya USA kwa mwaka ni kiasi gani?, je hiyo 2% inatosha kuhimili matumizi ya nchi nzima?, unajua deni la taifa la USA limefika kiasi gani hivi sasa?, unajua ni kiasi gani USA inakopa toka China kila mwaka?, hukumbuki uchumi wa marekani kipindi cha Bush ulikuwa katika recession Ubama ndiye amekuja kuufufua?, uchumi wa Marekani haufanyi vizuri hata kidogo, sera ya Trump is to make America great again, why?