Wewe kweli zuzu. Eti America kapitwa na nani? Do you really know the USA ama unapayuka tu hapa? Thousands of Chinese nationals are immigrating illegaly into America due to unemployment and hard economic times in China. I guess you are yet to see the lives of 800 million plus people living in rural China. Show me any American who has immigrated to China in search of better economic opportunities. Your statement shows how ignorant you are and that you actually know nothing about the United States.
Nishakuzoea sana we ni mtu wa kukurupuka.
Niletee ushahidi wa Chinese kufanya illegal migration kwenda USA???
USA hivi una habari kuwa umasikini unaongezeka na walala nje wanaongezeka pia??
Au unataka nikuletee ushahidi??
China anaiongoza dunia kiuchumi kwasababu zifuatazo;
1)China bank yake imekopesha zaidi ya mataifa 148+ huo ni uwiano unaoendana na rekodi za IMF na WB,hivyo Benki kuu ya China ina nguvu ya kifedha kuendana na WB na IMF kitu ambacho benki kuu ya USA haijawahi fanya.
2)China ana contribute 60%+ ya world manufactured goods ama industrial goods hivyo kampiga gap USA.
3)China ana geopolitical influence kubwa kuliko hata USA katika uwanda wa kidiplomasia mpaka wa kiulinzi.
NIMEZUNGUMZIA KUWA SUPER POWER ILA SIJUI HUWA MGUMU KUELEWA???
NAZUNGUMZIA MASUALA YA GEOPOLITICS.
Pia NASUBIRI USHAHIDI WA CHINESE KUHAMIA USA ILLEGALLY.
HUKU NIKIKULETEA USHAHIDI WA USA UMASKINI UKIONGEZEKA.