Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama kwa makini picha nilioquote kwa reply. ni ya estate wala si ya bunge. najua jengo la bunge ya Tanzania inavyofanana. ukisha confirm uniambie
OK, nadhani nimeconfuse na mradi wa NHC - Iyumbu housing Dodoma,
Let's forget about that,
Na umeonaje hizo mambo nyingine za Dodoma,?
 
OK, nadhani nimeconfuse na mradi wa NHC - Iyumbu housing Dodoma,
Let's forget about that,
Na umeonaje hizo mambo nyingine za Dodoma,?

Napenda watu kama wewe ambao wanakubali kosa. Dodoma ni mji nzuri sana ila haina mvuto kama jiji kuu. kwangu binafsi ni mji wa kawaida sana japo naona inazidi kuinuka. nadhani Arusha panapendeza kulika Dodoma. maoni yangu hayo
 
Huwezi ona cha maana kwa sababu ujamaa imekufunika macho. Kwa mambo ya elimu hata hufai kulingalisha nchi yako na kenya. we are worlds apart when it comes to matters education. Ndo maana hakuna hata siku moja utaona mkenya akija Tanzania kusoma.
wanakuja watu kutoka ulaya kuja kusoma law na mambo mengine wewe unaongea nini??? na tatizo la wakenya wengi elimu hajawasaidia kutoka kwenye ujinga na ndio maana mwenzio nilimwambia unaeza kusoma na usielimike, tatizo lenu mlikariri sana kua ni ile tz ya 90s kumbe hamkujua nchi inajengwa kimya kimya ogopa sana nchi iliotokea kwenye ujamaa😀😀😀😀
 
Ni mara ngapi hapa watanzania wenzako wamesema vile elimu ya Kenya haijasaidia wakenya? acha maswali mingi...labda umweleze mwenzako ichoboy jinsi ya kufanya mjadala kwa sababu yeye anapinga hoja bila kuleta convincing arguments. mwishowe anaitisha link akipewa anayadharau. pitia pages za zuma utaelewa. wakati swala la kidney transplant ilipochipuka
wewe huna elimu ya kunifundisha mimi kwanza hilo ulitambue, unaniletea link au uchafu 😀😀😀😀
 
Napenda watu kama wewe ambao wanakubali kosa. Dodoma ni mji nzuri sana ila haina mvuto kama jiji kuu. kwangu binafsi ni mji wa kawaida sana japo naona inazidi kuinuka. nadhani Arusha panapendeza kulika Dodoma. maoni yangu hayo
na unatakiwa uelewe dodoma ndio inajengeka sasa hvi kwasababu serekali yote imeshaanza kuhamia dodoma na sasa ikulu inajengwa dodoma na dar itabaki kama mji wa kibishara afrika mashariki
 
Sasa wewe umesoma usha fanya nini na kikatambulika World wide au umesoma ili kuendana na hali mliyo pangiwa na mzungu acha kujisifu upumbavu hakuna nchi ambayo akuna wasomi na sisi watanzania sio wapumbavu kama nyio huko kenya huku kila mtu ana ulelewa wa amboyo hata huko hamyajui
huyo usimlaumu hana tofaut na mwenzie collo mzee akili zao ni za baba mmoja😀😀😀😀😀😀😀
 
Dodoma ..Iyumbu Housing Project
d945030022a68371ff720fc1740d3986.jpg

d2fa8d59a6a91ad3f327c1c04efb228e.jpg
 
Dodoma ..Iyumbu Housing Project
d945030022a68371ff720fc1740d3986.jpg

d2fa8d59a6a91ad3f327c1c04efb228e.jpg
Alaf hawajui kama dodoma inajengwa kimya kimya yani hawajui kama international airport na ikulu ya tanzania inajengwa dodoma, hawajui hata international stadium and the second biggest in africa inajengwa dodoma itakua na uwezo wakuchukua watu elfu 90
 
Wajinga wanaingia kwenye mitandao wanagugo picha za miaka ya 1990 kujifariji.
 
Alaf hawajui kama dodoma inajengwa kimya kimya yani hawajui kama international airport na ikulu ya tanzania inajengwa dodoma, hawajui hata international stadium and the second biggest in africa inajengwa dodoma itakua na uwezo wakuchukua watu elfu 90
render poa lakini actual nyumba zimechakaa
 
Back
Top Bottom