ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
so garissa ni city sawa????😀😀😀😀😀😀😀 naona chang'aa haijatoka kichwaniDodoma kuna city na mkoa...Mimi na sema city.... Kwani umekunywa supu ya albino
so garissa ni city sawa????😀😀😀😀😀😀😀 naona chang'aa haijatoka kichwaniDodoma kuna city na mkoa...Mimi na sema city.... Kwani umekunywa supu ya albino
Haha that place even looks like Wajir...garissa is betterso garissa ni city sawa????😀😀😀😀😀😀😀 naona chang'aa haijatoka kichwani
ok tuanze dodoma vs garissa sasa hvi mm niko tayar😀😀😀😀😀😀Haha that place even looks like Wajir...garissa is better
Hawezi thubutuok tuanze dodoma vs garissa sasa hvi mm niko tayar😀😀😀😀😀😀
Garissa iko juu tuanze Dodoma vs wajir/isiolook tuanze dodoma vs garissa sasa hvi mm niko tayar😀😀😀😀😀😀
arusha haiwez kua kwasababu dodoma ilipangwa muda sana na ndio maana wanaipeleka speed kuijenga labda nikutajie mambo ambayo kwa sasa yanajengwa na ujenzi ushaanza dodoma
1}uwanja mkubwa na wakisasa wa michezo ambao utakua wa pili kwa ukubwa barani africa, cost yake 100m usd
2}ikulu kubwa kabisa inajengwa dodoma na ujenzi ushaanza
3}project za nyumba za kisasa zinajengwa dodoma moja wapo ikiwa iyumbu
4}expansion ya airport dodoma imekamilika na sasa wanajenga international airport in dodoma etc
Garissa iko juu tuanze Dodoma vs wajir/isiolo
Yeah! KweliTazama kwa makini picha nilioquote kwa reply. ni ya estate wala si ya bunge. najua jengo la bunge ya Tanzania inavyofanana. ukisha confirm uniambie
Isiolo has an international airport Dodoma has an airstripHahaha. by the way I think Isiolo can compete with Dodoma to some extent
AsanteYeah! Kweli
Ila panafanana
😀😀😀😀😀😀 umeshaanza kuogopa, acha nidhamu ya uogaGarissa iko juu tuanze Dodoma vs wajir/isiolo
Fungua sai Dodoma vs isiolo utatoroka😀😀😀😀😀😀 umeshaanza kuogopa, acha nidhamu ya uoga
tatizo lako wewe huoni comment za wakenya wenzio wanajibu majibu yakishenzi na mpaka matusiHapo sasa unaongea coz at least you have backed up your argument so next time usidharau hoja ya mtu kwa kutumia lugha kama 'uchafu' 'ujinga' nk jinsi wewe huwa unafanya. Si jambo la busara kuita hoja ya mtu ujinga wakati alietoa hiyo hoja hata humjui. Tuwe na mashindano ya ustaarabu
umesema garissa sasa unabadilikia tena 😀😀😀😀😀😀 unaogopa nini???Fungua sai Dodoma vs isiolo utatoroka
Nimekurumia garissa will rape dodomaumesema garissa sasa unabadilikia tena 😀😀😀😀😀😀 unaogopa nini???
😀😀😀😀😀 umenihurumia au umejinasua kwenye mtegoNimekurumia garissa will rape dodoma