Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Green city under the sun
Image
 
Msaada wa chakula ni kwa ajili ya njaa. Kama mnapata msaada wa chakula ina maanisha kuna watu hawana chakula mahali kwa nchi yenu. Kiufupi, mna njaa.
Wenye njaa Huwa Wana exports food Kunyaland? 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758884799027020270?t=hYzLaMOmOXtgl2fVVPXFsA&s=19

Huwezi mpangia mtu anaekupa Msaada wa maafa au Janga Fulani ,got it? 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758539416358814192?t=bsQrZrPMukWCLsJ8agJi-Q&s=19
 
Replication of office buildings ambazo already wako nazo wanaona ni maendeleo. Rais ana Ikulu Dar, nyingine inajengwa Dodoma wanaona hayo ni maendeleo. Ingekuwa nchi inayojielewa wengi wangequestion hiyo decision lakini wao wanaona ni flex. 🤣
Wewe ni mpumbavu wa mwisho zaidi, ikulu ya DODOMA au relocation of our capital to DODOMA ni suala ambalo ni la kimkakati, sababu za serikali kuhamia DODOMA kila leo zinaelezwa humu, lakini kwasababu wewe umejawa na chuki basi umechagua kujifanya haujui Chochote, watu wa namna kama yako ni mazezeta, na wala sitarajii kama kuna mtanzania atakujibu tena huu ufala wako🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom