Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is a slum CBD street view. 😂 😂 😂
Image
Yani kununua tu rangi za kupaka hizi nyumba imeshinda Hawa wachawi?
 
Hawa washamba wanajua hata skating ni nini?😂😂😂.

In campus I used to skate thoroughly, venye nilimaliza shule sijui interest ya skating ilipotelea wapi.
Imagine mtu wa maporini anamringishia raia wa pwani kuhusu skateboard 🤣🤣🤣 mimi binafsi nimezaliwa nyumbani nikikuta kaka zangu wakitumia skateboard .. wewe ni mshamba uliepitiliza kumbe najiabisha tu kupigizana kelele na wewe mbwa wa kimaskini ambae hata skateboard unaona ni luxurious 🤣🤣🤣🤣
 
Hujui skating ni nini mbwa hii?

This is me in my years at The University of Nairobi.

IMG_20180325_012750_253.JPG

IMG_20180323_142912.jpg
 
Kitu special kwenye hz picha ni miti tu. Ukienda kilimanjaro na Arusha utakutana na nyumba zinazofanana na hzo na mazingra kama hayo kila kona.

Dar haiwez kuwa na mazngira kama hayo, its geograpghy.
Hizo ni nyumba za mkoloni ambazo zilikuwepo Oysterbay na nchi nzima ambapo wafanyakazi wa juu serikalini walikuwa wakiishi.
Serikali iliuza zote na walionunua wamebomoq na kujenga nyumba mpya au apartment blocks.
Tena Tz ndio bei ghali kuliko Kenya hizo nyumba.
 
Back
Top Bottom