ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ndio ujenzi unaendelea bro au huoni😀😀😀😀😀render poa lakini actual nyumba zimechakaa
ndio ujenzi unaendelea bro au huoni😀😀😀😀😀render poa lakini actual nyumba zimechakaa
😀😀😀😀😀Yaani cbd pamechoka mbaya. Majengo ya Kizamani yamechakaa mno
na unatakiwa uelewe dodoma ndio inajengeka sasa hvi kwasababu serekali yote imeshaanza kuhamia dodoma na sasa ikulu inajengwa dodoma na dar itabaki kama mji wa kibishara afrika mashariki
wewe huna elimu ya kunifundisha mimi kwanza hilo ulitambue, unaniletea link au uchafu 😀😀😀😀
inamaana iyumbu project ni ya kenya sawa ???😀😀😀😀😀😀😀😀Naona inajengeka kweli kweli huku picha mnazoweka ni za kutoka Kenya. Ridhika na yako hata kama ni mbaya
huna hoja toka day one ulivoingia hapa jf, acheni tabia ya kudharau wengine msiowajua usifkiri siku zinafanana😀😀 mtu mwenyewe umeingiai jf juzi unataka kujifanya mjuaji sanaTushakuzoea wewe hapa jf. Kila ukikosa hoja kazi yako huwa ni kutapata na kudhalilisha hoja za wengine
Hi ni Dodoma ya wapi?Dodoma Tanzania,
View attachment 638663
inamaana iyumbu project ni ya kenya sawa ???😀😀😀😀😀😀😀😀
Always full of excuses....dude are you a lady???....kubali Dodoma no sawa na garissana unatakiwa uelewe dodoma ndio inajengeka sasa hvi kwasababu serekali yote imeshaanza kuhamia dodoma na sasa ikulu inajengwa dodoma na dar itabaki kama mji wa kibishara afrika mashariki
Sasa population ya Dodoma haifiki 100k unajenga stady ya 90k???? Misplaced prioritiesAlaf hawajui kama dodoma inajengwa kimya kimya yani hawajui kama international airport na ikulu ya tanzania inajengwa dodoma, hawajui hata international stadium and the second biggest in africa inajengwa dodoma itakua na uwezo wakuchukua watu elfu 90
Mzee wa iphone 7, dodoma sio level yako tafuta county unayoijua wewe ipambane na dodoma mm niko tayar kula sahani moja na wewe😀😀😀😀Always full of excuses....dude are you a lady???....kubali Dodoma no sawa na garissa
Ugua pole😀😀😀😀Sasa population ya Dodoma haifiki 100k unajenga stady ya 90k???? Misplaced priorities
Unajua tofauti ya district na city
Si amekwambia kakosea na amerudia kupost pic za iyumbu dodoma inamaana hujaziona au😀😀😀😀Wewe una macho kweli? Hujaona mwenzako aliweka picha ya greenpark estate ya athi river kuwa ni moja kati ya projects ya hiyo uyumbo? Na kila mara nyie ndo mnasema wakenya hupika data. nani mpika data sasa?
huna hoja toka day one ulivoingia hapa jf, acheni tabia ya kudharau wengine msiowajua usifkiri siku zinafanana😀😀 mtu mwenyewe umeingiai jf juzi unataka kujifanya mjuaji sana
kwani shida ni nini hapo ulitaka kujua 100k populationa au???😀😀😀😀😀😀Unajua tofauti ya district na city
Dodoma kuna city na mkoa...Mimi na sema city.... Kwani umekunywa supu ya albinokwani shida ni nini hapo ulitaka kujua 100k populationa au???😀😀😀😀😀😀
arusha haiwez kua kwasababu dodoma ilipangwa muda sana na ndio maana wanaipeleka speed kuijenga labda nikutajie mambo ambayo kwa sasa yanajengwa na ujenzi ushaanza dodomaKuingia kwangu jf juzi si hoja. Shida ni kujifanya unajua wakati in the real sense hakuna unachojua hata moja. Either sikuingia huku ili nielimike. Kwani huku ni shule? Itakuwa jambo la busara sana tukukiwa na mature arguments si kukataa kila kila mtu anasema. kwa mfano, mwenzako aliniuliza maoni yangu kuhusu Dodoma nikasema ni mji mzuri japo haina mvuto tena nikasema kwamba Arusha inapendeza kushinda huko Dodoma. Mbona mimi mkenya na nikasifia Arusha? Kitu ambayo wewe najua huwezi fanya. kwako, kila kitu kitokacho kenya ni kibaya. Na kwa taarifa yako jf nijiunga mwezi wa sita baada ya kuifatilia toka last year December.